stanley kaziulaya
Member
- May 29, 2019
- 5
- 9
UTUNZAJI WA VIFARANGA
Malezi bora ya vifaranga ni muhimu katika ufugaji wa kuku kwa sababu vifaranga hawana uwezo wa kustahimili mazingira wakiwa wenyewe mara wanapoanguliwa.Ukosefu wa malezi bora husababisha vifaranga kuwa dhaifu,kufa kwa wingi na hivyo kupunguza idadi ya kuku wa baadaye. Malezi ya vifaranga yanaweza kufanyika kwa kutumia kuku walezi au kutumia vifaa maalum.
KULEA VIFARANGA KWA KUTUMIA BRUDA
Bruda ni chombo/sehemu iliyoandaliwa mahususi kwa ajili ya kuwapatia joto vifaranga badala ya mama/mlezi. Mfugaji anaweza kulea vifaranga wengi kwa kutumia bruda ambayo ni mduara unaweza kutengenezwa kwa kutumia mbao, karatasi ngumu au kwa kuziba pembe za chumba.
Aidha, njia hii hupunguza vifo vya vifaranga vinavyosababishwa na ndege au wanyama hatari,huruhusu kuku kutaga mapema zaidi na kuwa na mizunguko mingi ya utagaji (kwa kuku wanaoatamia). Vilevile, hurahisisha udhibiti wa magonjwa. Mfugaji anapaswa kufuata taratibu zifuatazo katika kulea vifaranga kwa kutumia bruda:- • Kuweka vifaa vya kuongeza joto kwa mfano taa ya umeme, chemli au jiko la mkaa.
Zingatia kiwango cha joto kinachohitajika katika bruda Wiki ya kwanza ni 35oc, wiki ya pili ni 33oc, wiki ya tatu ni 31oc na wiki ya nne ni 29oc,
• Kuchunguza mtawanyiko wa vifaranga ndani ya bruda ili kutathimini hali ya joto.Wakijikusanya kwenye chanzo cha joto, inaashiria kua baridi imezidi hivyo joto liongezwe. Wakiwa mbali na chanzo cha joto maana yake joto limezidi hivyo joto lipunguzwe,
• Bruda iwe na sakafu yenye malalo yatokanayo na maranda ya mbao au pumba za mpunga. Malalo yabadilishwe endapo yataonekana yameloana,
• Bruda iwekwe vifaa vya maji na chakula. Maji na chakula kiwekwe kabla ya kuweka vifaranga,
• Vifaa vya joto viwekwe ndani ya masaa 6 kabla ya kuingiza vifaranga,
• Vifaranga walishwe chakula cha kuanzia gramu 12-15 kwa kipindi cha wiki ya 2. Katika wiki ya 3 wapewe gramu 21-35 kwa kifaranga na chakula hicho
KWA MAHITAJI YA VIFARANGA BORA NA KWA BEI NAFUUU AINA YA
KULOILER= 1400 tsh
SASO=1400Tsh
MALAWI= 1400sh
WASHAPATIWA CHANJO
WAPO KILA SIKU TUNAFIKISHA MPAKA NYUMBANI,NA MIKOANI BONUS;KITABU CHA MUONGOZO WA UFUGAJI KUKU(SOFTY COPY) OFFICE;
TUNAPATIKANA DAR,MBEZI LUIS
CALL 0767503645