utundu mpya

mbona machale ya nyusi yananicheza hii ni THE RETURN OF SOPSOP bado unauza 5000 au umeshusha bei
 
haya mautundu mnayoyaleta humu sio! ndo mana hata hata mafisadi nao wanakuna vichwa nao wato mautundu yao kuibia wananchi!
 
Unafikiri TCRA tumelala, ajaribu aone.

TCRA ndio nani? Watu tunaibiwana haya makampuni ya simu Daily,utakuta mtua kaweka salio ila baada ya mda lina yeyuka bila hata kututumia wengine wanachajiwa caller tune wakat hawajaomba na madudu mengine kadha wakadha mbona hatuwaoni wakitetea walaji?? au hao TCRA ni kwaajili ya hawa wados?
 
Jamani tuambie wengine tumekaa mkao wa kusubiri vya mteremko lol!
 
Duh jamaa alikuwa anatuchezea sharubu huyu!!!
au kuna aliyepata pm?
 
je unahtaji kupata free dstv channels kupitia zukudish,au c band dish?

Au unahtaji kupata free internet...thru code flan flan kweny browser yako?...



Hakuna dstv ya zuku au C band acha kubabaisha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…