mimi natumia lile la mchina...startime nadhani nayo yawezekana!!
Mwaga basi hayo matundu humu jamvini au fanya kwa pm ila kama lengo ni biashara ama mambo ya kuombana voucher kama yule nanii upati mtu humu mkuu!!!!!!!
Krapka Davinoooooooooooooooo
Hakuna anayekwiba hapa bali ukisikia maufundi ndiyo kama haya au wataka siku zote tubaki vilaza?
Ebu kuwa clear unataka kutuambia kuwa bakhressa naye amekwiba kwa kuanzisha Azam cola&Azam malt?