muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Wana jamvi!
utumishi wamefunguka tena kwa ajili ya watanzania katika kada mbalimbali kama mifugo, kilimo, nyuki, matunda, lishe na fani zingine! Kwa wenye sifa Kazi kwenu sasa!
Cheki hapa Document Details | TANGAZO LA KAZI FEBRUARY 17, 2014
Au angalia attachment hii
Asante kaka. Naona.watu wa kilimo.washindwe wao.
Dah, kudadeki hii course yangu vipi? Mbona ajira hakunaga?
Wanaweka tangazo kutimiza wajibu 2 ila tayari wanawatu wao,ubarikiwe kwa kutujuza pia si vibaya kubahati wanaweza kujisahau wakakupitisha.
Wana watu wao tayari wengine mtakula gharama za bureee...!
Asante kaka. Naona.watu wa kilimo.washindwe wao.
Dah, kudadeki hii course yangu vipi? Mbona ajira hakunaga?
Mkuu Brightman Jr, how far are you sure? yaani wawe na watu wao nafasi zaidi ya 500? kama ni kweli basi hii nchi itakuwa imeoza zaidi ya nilivyokuwa nafikiria!
Wana watu wao tayari wengine mtakula gharama za bureee...!
Mkuu Brightman Jr, how far are you sure? yaani wawe na watu wao nafasi zaidi ya 500? kama ni kweli basi hii nchi itakuwa imeoza zaidi ya nilivyokuwa nafikiria!
duh, muuza ubuyu umetoka ughaibuni hivi majuzi nini? ni kweli sio nafasi zote 500 zinaweza kua na watu, ila zaidi ya nusu zina watu. hafu tusiongelee nafasi 500 kwa ujumla, maana hakuna mtu anaeweza fiti kwote. chukulia unakofit kuna vacancy 10. hafu "za wenyewe" kama anavyosema Brightman Jr zikawa 6. ebu sema wewe hapo..