Utumishi wako fair

Hongera sana Mkuu bado sijawapatia utumishi maana nachezea namba za viatu sana kwenye written bado najifua one day nitakuwa kama wewe
 
Hongera sana Mkuu bado sijawapatia utumishi maana nachezea namba za viatu sana kwenye written bado najifua one day nitakuwa kama wewe

Cha msingi ni ku fight kuingia Oral. The rest will follow. Ila amini iko siku mambo yatajipa. Nimefanya Interview na watu walikua eliminated kwenye written mbili ila this time wame kula kitengo.
 
Mkiitwa Utumishi na kupangiwa kazi huwa mnaisifia sana. Hongera kwa kuitwa kwenye tangazo la jana japokuwa kufanya first interview na kupangiwa kazi haiwezi kuficha madudu yao.

Kuna jina lilishawahi kuongezwa usiku masaa machache kabla ya usaili na likapangiwa kituo cha kazi pia.
 

Niliongea kwa situation yangu na kwenye post pia soja justfy kwa 100% kuwa hawana madudu yao. Anyways asante kwa pongezi mkuu.
 
Ipi Siri ya mafanikio yako na unatushauri nini ambao bado hatujafanikiwa?Mungu akubarikii katika majukumu yako ya kazi?
 
Ipi Siri ya mafanikio yako na unatushauri nini ambao bado hatujafanikiwa?Mungu akubarikii katika majukumu yako ya kazi?

Kulikua na usimamizi mbovu siku ya written, mtihani ulikua mrefu na dakika ni chache. Watu walikua kwenye formation zao mimi nilikaa mbali nazo nili andika what i know licha ya kila muda nilikua naona wenzangu wakiwa wana andika vitu vingi zaidi yangu na tofauti zaidi yangu so nili amini zaidi what I was writing pale.

Kwenye oral ilikua ni the same maswali yalikua yanahitaji point 5 na maswali yalikua matano unayo paswa kujibu ndani ya dakika 15. Kwa sababu yalikua ni maswali marahisi nili jibu very shortly na briefly in 5 minutes nilikua out of the room. I knew nilijibu kwa ufasaha na kwa kujiamini mbele ya lile jopo.

My point ni kujiamini, show them unajua what you are doing.
 
Kila la kheri mkuu
 
Ok thank u.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…