Utumishi uliotukuka ni nguzo ya amani

Utumishi uliotukuka ni nguzo ya amani

Diranqw

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
160
Reaction score
72
Wakati naanza biashara yangu halali,nilimtanguliza Mungu mbele kwamba yeye ni kila kitu na kuwa mtiifu kwa kazi yangu na kwa wateja wangu katika yafuatayo:
1.kuwahi sehemu ya kazi yangu kwa ajili ya lengo moja tu kuwahudumia wateja.
2.kulinda kauli zangu ambayo itawakwaza wengine na kuathiri moyo wangu vilevile na biashara
yangu
3.kuwa na nidhamu ya fedha kwenye matumizi.
4.Nilikuwa nahakikisha nafunga hesabu zangu kila siku kuona kama nimefikia malengo yangu kwa siku hiyo,kama siyo lazima ni fanye kufidia sehemu iliyopotea.
5.Nilikuwa nahakikisha kuwa nauza bidhaa zangu kwa faida stahiki na siyo kwa ulanguzi,ulafi,na katika ubora wake.
6.Nilikuwa nahakikisha nalipa sehemu stahili ya kodi ya serikali yangu nafungu la kumi kwa Mungu wangu.
%SASA SWALI KWAKO WEWE,MTUMISHI MWENZANGU UWE MFANYABIASHARA,MKULIMA,MFUGAJI,NESI,ASKARI,DAKTARI,AFISA KILIMO,MWALIMU,MKURUGENZI,DC,MKUU WA MKOA,MAAFISA WATENDAJI,MNATENDA NAFASI ZENU KAMA MNAVYOTAKIWA KUTENDWA????????????????????????????????????
"MTANIPA MAJIBU"
 
Back
Top Bottom