mkeyamasai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 383
- 153
Baada ya kuchangia humu. Ilikuwa ya taa..
No nilifanya ya tanroads
Baada ya kuchangia humu. Ilikuwa ya taa..
No nilifanya ya tanroads
Hapana kuna watu nawajua wameshapigiwa
Hongera Mungu akusaidie..
Thanks,amin. mungu yu mwema siku zote kwa ajili yetu, nisipopata hizi jina langu angalau litakua database coz ckuwah kufanya interview kule kipind cha nyuma hii ni ya kwanza
Msiogope waheshimiwa jioni au kesho wanatupia mzigo...february mnaingia kwa kazi
Jioni ya leo au kesho wataweka majina ya waliofuzu tayari kwa kuanza kazi, hongera kwa watakaopata, tutakaokosa tusikate tamaa. One day yes.