Mtunda Lubaragula
Member
- Jan 4, 2014
- 31
- 11
Hapana si sawa kabisa. Unaposhortlist watu maana ake wana vigezo unavohtaji. unachokwenda kuthibitisha ni ule uwezo uliopo ktk vyeti na kujiamini kwake. Unapomwambia tulikuchagua kimakosa inaonesha ni jinsi gan ulivyokuwa huna umakini ktk kuamua.Nalo hilo ni chujio pole sana
Yes! Hili si sawa kabisa. Na hili limejitokeza dhahiri, sasa sijui yale ambayo hayajitokezi dhahiri. Anasimama mtu kuwakebehi, Hivi nyinyi mnafeli hadi Kiswahili mtaongeaje na wagonjwa? Aliemwambia anaefeli Kiswahili hawez kuongea nani?Not Fair at all
Yes ndo wale mkuu!Duuuuuhh kumbe ndio wale waliokwama pale nje ya Theatre B kule DUCE
Kwani wameita teyari Mkuu?Haiwezekani umchague mtu kuja kufanya interview wakati unajua kabisa hana ufaulu unaoutaka.
Health attendant wengi wamezuiliwa kuingia ktk usaili DUCE kwa kigezo cha kutokuwa na ufaulu wa Kiswahili au English wakati wamekuwa selected kufanya interview.
Hivi hawa utumishi wana mawazo kweli ya kisomi. Waliwaingiza gharama ya nini watu hawa. Halafu wanasimama na kuwajibu Tulifanya makosa kuwachagua. Shame! hivi mko professional kwel? mlishindwa kuwataarifu kweli?