Utumishi interview kwa mara ya kwanza

Utumishi interview kwa mara ya kwanza

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Kwa mara ya kwanza nimefanya interview ya utumishi. Ninamshukuru Mungu sana kwa hii nafasi, ukweli nimepata experience na changamoto, naimani ndio mwanzo wangu inshaallah nitaendelea kujiboresha.

Kada ilikuwa maendeleo ya jamii(Community Development Officer )

Aisee kule ndani sio poa.
 
Kuna Taasisi nyeti nilialikwa kushuhudia usaili nikashangaa sana.
Kumbe wanawafatilia 3weeks 24hrs.
Amen
Hakuna Sanaa
 
Screenshot_20230708-154216.png
 
Kwa mara ya kwanza nimefanya interview ya utumishi. Ninamshukuru Mungu sana kwa hii nafasi, ukweli nimepata experience na changamoto, naimani ndio mwanzo wangu inshaallah nitaendelea kujiboresha.

Kada ilikuwa maendeleo ya jamii(Community Development Officer )

Aisee kule ndani sio poa.
Kwa maneno haya umepigwa na kitu kizito
 
Kila la heri kaka. Niliwahi kwenda interview ya Airport Operation Officer dah ilikuwa balaa sana unasoma wanatoa kingine kabisa yaani inakuwa chenga ya mwili kabisa.
 
Back
Top Bottom