Utumishi hii sio fair kabisa

Utumishi hii sio fair kabisa

Jomna.peleka malalamiko wizaran.au mamlaka.nyingine inayohusika

hata hivyo tukumbuke kauli.kuwa kwa sasa taasis inayoaminika kidogo ni JWTZ.ahahahah
 
ni kweli kabisa mimi nilikuwepo na ni mmoja kati ya walioshiriki. Tulipiga written pale cbe watu kumi na sita then tukaitwa watu tisa. Wakati tunasubiri kuingia oral yule jamaa wa utumishi akatuuliza hv* MMEMUONA MSHINDI WENU* tukasema hapana. Baadaye tukaona anakuja jamaa ambaye hakuwepo kwenye written. Tukaingia cc yeye akawa wa mwisho. Hatujui kilichoendelea.
 
Back
Top Bottom