wadau mimi ni mmoja wa vijana tuliofanya written interview post ya admission & examination officer tpsc tar 11 desemba....nikafanikiwa kuitwa oral tarehe 12 desemba..cha ajabu tukiwa tunaendelea kufanyiwa interview akaletwa kijana mpya ambaye hatukumuona kwenye written na kuambiwa kuwa ni mwenzetu tukabaki tukishanga na kukosa la kufanya...nkifikiria nakosa imani tena na utumishi...bora ningehadithiwa lkn nilishuhudia mwenyewe...kama kuna mtu unamfahamu alifanya interview hio muulize