Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Oct 16, 2017 #1 watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,509 Oct 16, 2017 #2 usitufundishe kazi
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,739 Reaction score 3,964 Oct 16, 2017 #3 Yaani watu tunastress asee, hapa ndo utaona umuhimu wa upinzani sometime katika inshu kama hizi anatakiwa mtu kama Godbless Lema anaongea kwa kuitilia mashaka wizara ili kushinikiza wajibu tujue kinachoendelea bhana
Yaani watu tunastress asee, hapa ndo utaona umuhimu wa upinzani sometime katika inshu kama hizi anatakiwa mtu kama Godbless Lema anaongea kwa kuitilia mashaka wizara ili kushinikiza wajibu tujue kinachoendelea bhana
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,392 Reaction score 8,295 Oct 16, 2017 #4 Sijaelewa
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,585 Reaction score 2,054 Oct 16, 2017 #5 Serikali hii haishi maigizo kila idara!
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,328 Reaction score 13,773 Oct 16, 2017 #6 Dogo Mbona Unatutukana Sisi hatuwahi wala hatukawii.
faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,596 Reaction score 1,724 Oct 16, 2017 #7 Troll JF said: Dogo Mbona Unatutukana Sisi hatuwahi wala hatukawii. Click to expand... Nyie ni Mungu coz ndo hawah wala hachelewi
Troll JF said: Dogo Mbona Unatutukana Sisi hatuwahi wala hatukawii. Click to expand... Nyie ni Mungu coz ndo hawah wala hachelewi
P Plyn Member Joined May 14, 2017 Posts 14 Reaction score 34 Oct 16, 2017 #8 Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Hahaaaaa.... In fact Kila mtu yuko anxious.....ni bora wakatoa tuu Jomoni...
Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Hahaaaaa.... In fact Kila mtu yuko anxious.....ni bora wakatoa tuu Jomoni...
K kemchooh Member Joined Sep 2, 2014 Posts 38 Reaction score 21 Oct 16, 2017 #9 Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Kwakweli...watoe majibu...watu hatuli tukashiba kisa wao?
Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Kwakweli...watoe majibu...watu hatuli tukashiba kisa wao?
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,207 Reaction score 74,012 Oct 16, 2017 #10 Bora wewe hata una mambo mengi ya kufanya, mi sina
Liobite Senior Member Joined Sep 10, 2013 Posts 127 Reaction score 37 Oct 16, 2017 #11 Yaan utumishi ni jipu
FARU JEURI JF-Expert Member Joined Sep 4, 2015 Posts 377 Reaction score 299 Oct 17, 2017 #12 G. O. E.
SechalaD Member Joined Jul 5, 2017 Posts 24 Reaction score 31 Oct 20, 2017 #13 Me nikiamka nawachungulia, kabla cjalala nachungulia tena... Yani daaah watoe tu hayo majina jomoni
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,988 Reaction score 9,213 Oct 20, 2017 #14 Watu mnaosubrii hivi mkikuta hamjaitwa mtapata presha kabisaaaa...
zuberi Abraham JF-Expert Member Joined Feb 13, 2016 Posts 480 Reaction score 389 Oct 21, 2017 #15 Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Watofautishe utumishi na secretariat ya ajira mkuuu
Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Watofautishe utumishi na secretariat ya ajira mkuuu
F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Oct 21, 2017 #16 wote mmefeli tunatangaza upyaπ±π±π±π±π±
CaptainDunga JF-Expert Member Joined Jul 17, 2009 Posts 1,588 Reaction score 1,392 Oct 21, 2017 #17 Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Hatupangiwi kazi unasikia......na tungejua ID yako Halisi tungekata jina lako(kama ungekuwa umepita)
Perry said: watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu. Click to expand... Hatupangiwi kazi unasikia......na tungejua ID yako Halisi tungekata jina lako(kama ungekuwa umepita)
O ODILI SAMALU JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 1,369 Reaction score 489 Oct 21, 2017 #19 Mimi nishaacha kabisa ku apply kazi kabisa
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,484 Oct 21, 2017 #20 ODILI SAMALU said: Mimi nishaacha kabisa ku apply kazi kabisa Click to expand... kwa nini umeacha?