singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
TPRI, RUBADA, BODI YA MKONGE, BODI YA PARETO NK.Magufuli aende Wizara ya kilimo kuna majipu mengi tu yaliyoiva.
Ni kufuatiliwa na sio "kufwatiliwa"....Yataje hapa yaanze kufwatiliwa.
mkuu kama umechunguza majengo mengi ujenzi umesiamama ghaflaNilikuwa najiuliza kila mara ,hasa nikiwa napita kule Kibada-Kigamboni, hivi hawa wenzetu fedha wanazitoa wapi za kujenga majumba mazuri hivi?mahekalu ya maana. Lakini tangu aingie Magufuli nimeanza kujua wamiliki wengi wa yale majumba ni majipu chungu,sasa hivi wengi wao pressure juu juu, na kwa kuwa hospitali ya Muhimbili inahimarishwa hakuna atakaye kufa kirahisi ,maana washughulikiwe vizuri.
Teh teh teh! Yatabakia kuwa magofu!mkuu kama umechunguza majengo mengi ujenzi umesiamama ghafla
wasiwafanyie hivyo aiseeTeh teh teh! Yatabakia kuwa magofu!
Duh,kumbe jamaa ananunua tiles na vioo vya giza kwa fedha ya vitambulisho vya utaifa.Sasa tusubirie haya magofu watayafanyia nini sasa. Maana design zao hauwezi hata kuhamia kwa muda ili uimalizie nyumba taratibu.wasiwafanyie hivyo aisee