Utumbuaji majipu umefika mwisho?

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
2,487
2,394
Pamoja na kashfa za ufujaji wa pesa za wanachama inaelekea Magufuli anamgwaya Mheshimiwa Dau wa NSSF.
 
Dr Day ana utumiahi uliotukuka, mnakumbuka aliwahi kutuhumiwa ametumia pesa za umma vibaya lakini baadae report iliyotoka ilieleza namna ambavyo hurejesha chenji anapofanya safari za kikazi pale inapotokea matumizi yakawa madogo
 
Mimi nasubiri jipu la yule WAZIRI mkweli aliyehujumu ziara ya kushtukiza ya WAZIRI MKUU ya bandarini kwa kumtonya mhusika kiaina kupitia SMS! Rais Magufuli asipotumbua jipu hili la WAZIRI "mkweli" atakua ameleta mgogoro katika baraza la mawaziri na WAZIRI MKUU atajisikia mnyonge!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom