Utulivu Ndio Nguvu ya Siasa

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
803
Reaction score
868
“Siasa siyo nguvu ya misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni. Siasa siyo kubebwa kuvuka daraja, bali ni kuvuka kwa juhudi na uwezo wako mwenyewe. Maana ukishindwa kusimama kwa nguvu zako, utajikuta unawatumikia wachache na mwisho wa yote utakuwa mtumwa wao.”Alloyce, P.R.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…