Utulivu bungeni

Kuna aya moja katika Bible inasema kuwa mjinga akinyamaza huhesabiwa kuwa ana hekima. Kwa nje wamenyamaza lakini mioyoni wanavurumai kali. Basi tu....!
 

Wewe ni dugai au umemtumia sms akaisome bungeni, maana kayawakilisha maneno haya kama yalivyo, kweli kazi tunayo!
 
Ntafurahi kama hivyo vinavyoptishwa kwa ulaini na bila kero za 'wahuni' ni mambo yenye maslahi kwa mtz. Lakini kama ni uovu umepata mwanya, maisha yatazidi kua ya maudhi zaidi ya matusi ya 'wahuni'
 

Nina wasiwasi AKILI yako imehamia MATA CORE NI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…