Tetesi: UTT-AMIS

Ila kwa mambo yalipofikia....imani imekua chini sana
 
Tarehe 26, nliuza vipande vyenye thamani ya 1m kwenye account ya umoja fund mpaka leo tarehe 03 hawajanipa hela, naona process inachukua mda sana, yani mtu ukiwa na dharura ya ghafla utt sio ya kuitegemea


Updates:

Hii hela iliingia kwa wakati changamoto ilikua ni bank iliyopokea hela sikupata notification kwa haraka, nlikuja kujua baadaye sana
 
Kuna hii taarifa mpya kwenye portal yao wanaboresha huduma kupitia app mpya
 

Attachments

  • IMG-20251215-WA0000.jpg
    62.4 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…