We unaiamini hii serikali kabisaa?UTT haiwez sumbua mkuu, labda serikali ife
Kabisa mkuu..watu wanajua labda UTT wanakusanya pesa na kuzi hold,wakati mtu akiweka pesa na wao hununua Aidha Hisa ama bond za serikali..na hatimaye faida ikipatikana ndo unalipwa wewe.UTT haiwez sumbua mkuu, labda serikali ife
Ni kweli kwa hii serikali inavyoendesha mambo yake na mahakama za maelekezo, lazima kuwe na wasiwasi hasa kwa sisi tulioshika upande wa makali. Ila walioshika mpini hawana wasiwasi maana wako well informed.Ila kwa mambo yalipofikia....imani imekua chini sana
MKuu serikali ikiamua,hata hivyo vihela vyako ulivyoweka nmb watachukua na huna cha kufanya,halafu muelewe UTT hawatunzi pesa ya mtu,wao wakichukua hyo pesa yako,wanaenda kuwekeza maeneo mbali mbali,ikiwemo kwenye mabenki kwenye account maalumu za riba,wanaweka hela kwenye bond za serikali na pia wanaweka kwenye Hisa..Ila kwa mambo yalipofikia....imani imekua chini sana
Shem nipe ABC kuhusu hiyo kituLast week nilitoa hela huko walinicheleweshea hadi ikabidi nikope kwanza