Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
Wanajamvi,mpeleke mwanao CCP Moshi akasomee utrafiki! naletahii kero na RPC Mwanza utusaidiehili.Leo nimekodi canter toka mwanza kwenda misungwi kwa TSH 70,000/=kubeba mifuko 35 ya cementi. Trafiki wa kwanza alitupiga mkono maeneo ya city center(Kenyataroad) akadai tumtoe hela ya kahawa tukampa
kituo cha relini tukawakuta kikosi cha matrafiki4 wakakagua na kudaihaina spring wakapewa elfu 10, nyegezi wakapiga mkono na kusema tairizimeisha, naye alidai hela.Nyashishi kamakawa lazima uwashike mnkono elfu 5 hadi10 uwe na kosa usiwe na kosa lazima uwatunze kituo cha mwisho kabla ya misungwi nao wakatukaba tuwatoe chochote.Toka mwanza Mwanza ni km 40 tu,
My take .jamani ukitaka utajiri wa haraka mpeleke mwanao CCPMoshi akasomee utrafiki.
My take .jamani ukitaka utajiri wa haraka mpeleke mwanao CCPMoshi akasomee utrafiki.