Hivi karibuni shirika la Children in Crossfire (CiC) liliingia mkataba na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari UTPC kupitia Klabu za waandishi zilizoko nchi nzima. Mkataba huo unaotakiwa kutekelezwa kwa miezi tisa (kwenye makaratasi) lkn kimkataba inaonekana mkataba utatekelezwa kwa miezi sita.
Sasa cha kuchangaza Mkataba huo kwa maelezo ya UTPC unatakiwa usainiwe kuanzia Januari 2025 wkt kuhalali mkkataba yote imesainiwa Machi 01 2025. Na wanataka habari mbili ndani ya wik mbili Ili kufidia robo mwaka inayoishiq ss. Bwana Craig Ferla unaelewq jambo hili? The people you partner with are all corrupt.
Tukija kwny Press Clubs ndo vichekesho zaidi. Mgawanyo wa pesa hauleweki. Yani wanatoa laki moja kugawanywa kwa watu wanne ambayo ni sawa na tsh. 25k na iyo inatakiwa itumike kwa miezi mitatu je inamaana kwa mwezi ni tsh 5k? Hii ni sawa kweli.? Nimeambatanisha barua ya mchanganuo wa matumizi ya fedha hizo kwa mujibu wa UTPC.
Kuna baadhi ya wamiliki wa redio wamegoma kusaini hiyo mikataba kwabb wameona wizi unaofanywa na UTPC kupitia Press Clubs. TAKUKURU WATAMBUE KUWA MIKATABA YA MRADI HUU IMESAINIWA MWEZI MACHI LKN KWENYE KARATASI IMEANDIKWA JANUARI.
Kuna kipindi watu walilalamika humu kuhusu matumizi mabaya ya fedha na wizi unaofanywa na UTPC ila JamiiAfrika mkafuta. Naomba huu wa leo msifute ili mzisaidie Press Ckubs na haswa waratibu ambao wanafanyishwa kazi kama watumwa kwa malipo kiduchu.
Mratibu wangu aliniambia kuwa wkt wapo Dodoma walimwita mkurugenzi wa UTPC Kenneth Simbaya ili kumwambia changamoto zao na wapate majibu. Ni wazi UTPC wako pale kwa ajili yao wenyewe na wanawatumia waratibu kutimiza haja zao za kujilimbikizia mali kwa kulipanq mishahara minono huku mzigo wote wa kazi ukifanywa na waratibu. MMEWAONEA SANA WATOTO WA WATU.
naipongeza sana SIDA kwa kuamua kuachana na hawa watu kwani HAKUNA WALILOFANYA ZAIDI YA KUTAPANYA PESA NA KUPEANA KAZI KINDUGU. Watu wanapeana kazi na wake zao na ndugu zao. Pesa za sida zote zinaishiq kwny familia moja.
Inaweza kuonekana tunapiga majungu km mnavyosemaga siku zote mambo yenu yakiwekwa hadharani lkn ninyi wenyewe mnajua kuwa YOTE MNAYOTUHUMIWA NAYO NI KWELI MTUPU.
TAKUKURU NAOMBA WKT HUU MSIPUUZE SHUTUMA HIZI DHIDI YA UTPC. Wanaibia sana Klabu. Naomba piteni kwny Press Clubs mikoa yote kutaneni na waratibu watawaeleza jinsi tunavyoibiwa jwsbb waratibu ndio wafanyakazi walioajiriwa na UTPC. Pitieni mikataba yao muone jins UTPC ni wakoloni weusi walioamua kuwanyonya waratibu na Press Clubs kwa jumla.
BAADA YA SIDA KUONDOKA UTPC HAISTAHILI KBS KUPATA UFADHILI MWINGINE. NI WEZI NA WALA RUSHWA WAKUBWA.