Nilikuwa naamini Babu yetu tuliekuwa tunaishi nae kuwa ndio Mtoto Mkubwa wa Baba japo nilikuwa namsikia Baba akimwita ' Baba' kwa kuwa tu nilikuwa naona yupo tu home hana Mishemishe Kama za Mshua kutokana na Uzee wake!
Utoto wangu niliwahi kusimamia harusi kama bi harusi mdogo nikaamini mvulana niliesimamia nae ndo atakuwa mme wangu tukiwa wakubwa. Hahaaa matokeo yake leo hii nikikutana nae hata sura simkumbuki, utoto raha sanaaa
Utotoni mwangu kipindi niko darasa la kwanza nilisoma tangazo la nguvu za kiume kwenye gazeti nikaenda kumwonyesha mama nikamwambia nikija kuwa mkubwa nikapata ela lazima ninunue hizo nguvu za kiume !
Mama aliniuliza unajua maana ya nguvu hizo?
Mi nikamjibu ni nguvu kama alizonazo Comando John za kuweza kupambana na kupiga watu wote hata kunyanyua gari..!
Mama aliishia kucheka tu ..leo hii nshakua nkagundua kumbe tangazo lile liliwahusu wanaume wa Dar.!