google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
Habar zetu wanajamvi, hivi ndivyo nilivyokuwa nikiamini utoton sijui ww dunia nzima ni kabila letu baba anawaweza ngumi watu wote dunian watoto wanaletwa na ndege mpaka hospital ndo wauzwe Mungu anaishi kanisani ukitaka kumwona unamwona ukilia usiku saut inapotea karibun wenzang tukumbuke tulikotoka.