Utoto raha sana jamani.

Utoto raha sana jamani.

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
737
Reaction score
760
habar zenu wakubwa kwa wadogo

Napenda tukumbushane mambo ambayo wazazi wetu walikua wakitudanganya pindi bado tupo wadogo.
Mimi naanza kama ifuatavyo

(a) mzazi wangu alifanikiwa kunidanganya kuwa kwenye page za biblia sehemu ambayo iko plain basi ujue kuna dhambi nimetenda so ndo maana maandishi yamefutika.
Hapa niliogopa sana

(b)siku tukila mahindi iwe ya kuchemsha ama ya kuchoma,bas ataomba anioneshe njia (kula mhindi) basi na mm bila hiana hutoa bila kinyongo

(c)kuangalia movie za ki Nigeria zile za kichawi niliogopa sana ,kwa sababu mzazi aliniambia nikiangalia wataniijia usiku.

Wazazi zamani walitumia njia kama hiyo (a) ili kumfanya mtoto aheshimu maandiko katika biblia pia na kumheshimu MUNGU aliyejuu

Hebu na ww mwana jf mwenzangu tuambiane wazazi wako walitumia njia gani & walikudanganya namna gani?
 
Daah mkuu nakumbuka utotoni niliambiwa watoto wananunuliwa na Mwanamke akiwa na tumbo kubwa Ameshiba
 
Niliuliza nani anaongea ndani ya redio nikaambiwa ni MTU...nikauliza anaingiaje?
Nikaambiwa hukatwa kichwa hasa sehemu ya mdomo....It was really terrifying ..I felt like falling down to run away ..nikaambiwa tulia uwe mtoto mzuri hatutakuingiza kwa redio.
 
habar zenu wakubwa kwa wadogo

Napenda tukumbushane mambo ambayo wazazi wetu walikua wakitudanganya pindi bado tupo wadogo.
Mimi naanza kama ifuatavyo

(a) mzazi wangu alifanikiwa kunidanganya kuwa kwenye page za biblia sehemu ambayo iko plain basi ujue kuna dhambi nimetenda so ndo maana maandishi yamefutika.
Hapa niliogopa sana

(b)siku tukila mahindi iwe ya kuchemsha ama ya kuchoma,bas ataomba anioneshe njia (kula mhindi) basi na mm bila hiana hutoa bila kinyongo

(c)kuangalia movie za ki Nigeria zile za kichawi niliogopa sana ,kwa sababu mzazi aliniambia nikiangalia wataniijia usiku.

Wazazi zamani walitumia njia kama hiyo (a) ili kumfanya mtoto aheshimu maandiko katika biblia pia na kumheshimu MUNGU aliyejuu

Hebu na ww mwana jf mwenzangu tuambiane wazazi wako walitumia njia gani & walikudanganya namna gani?
Wazazi zamani: Zamani ipi mkuu? Unajua zamani zinatofautiana,ungeandika hata mwaka basi,ili tuwe tunaona uhalisia fulani,
Kinyume na hapo mmmh haieleweki
 
Niliuliza nani anaongea ndani ya redio nikaambiwa ni MTU...nikauliza anaingiaje?
Nikaambiwa hukatwa kichwa hasa sehemu ya mdomo....It was really terrifying ..I felt like falling down to run away ..nikaambiwa tulia uwe mtoto mzuri hatutakuingiza kwa redio.
Umetisha mkuu
 
Wazazi zamani: Zamani ipi mkuu? Unajua zamani zinatofautiana,ungeandika hata mwaka basi,ili tuwe tunaona uhalisia fulani,
Kinyume na hapo mmmh haieleweki
Chini ya miaka ya..90
 
UKISIMAMA WENGINE WAMEKAA UNAWANYONYA DAMU. KUMBE UNAFUNDSHWA HEKIMA USIWASIMAMIE WATU KAA NDIPO USEME SHIDA YAKO.
 
Mi nakumbuka nilikatazwa nisifanye mchezo mbaya
 
Back
Top Bottom