Utoto kwenye ndoa

Utoto kwenye ndoa

FORWARD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
740
Reaction score
296
Habari wadau,

Kuna hili neno 'analeta utoto ndani ya ndoa' mara nyingi naliona kwenye kuhusisha ugomvi ndani ya ndoa kati ya mke na mume, kwa wenye uelewa wa hilo neno mambo yepi hasa yakifanywa ndani ya ndoa humaanisha utoto?

Pia ni akina nani anaeongoza kuleta mambo ya kitoto ndani ya ndoa kati ya mke na mume? Kuna umuhimu wa kuwa na kitabu cha muongozo wa ndoa ili wanandoa kutotofautiana katika maswala ya maisha ya kila siku?
 
Swali la kitoto hili! Kama hauko kwenye ndoa umeliskia wapi?
 
Nafkiri ni zile tabia za Ki-bachelor wakati umeo ndo zitakuwa wanazi-term kama utoto.
Halafu pia U-seriousness kwenye mahusiano ya ndoa.

NB:Mimi siko kwenye ndoa na wala si mwanandoa.
 
Habari wadau,

Kuna hili neno 'analeta utoto ndani ya ndoa' mara nyingi naliona kwenye kuhusisha ugomvi ndani ya ndoa kati ya mke na mume, kwa wenye uelewa wa hilo neno mambo yepi hasa yakifanywa ndani ya ndoa humaanisha utoto?

Pia ni akina nani anaeongoza kuleta mambo ya kitoto ndani ya ndoa kati ya mke na mume? Kuna umuhimu wa kuwa na kitabu cha muongozo wa ndoa ili wanandoa kutotofautiana katika maswala ya maisha ya kila siku?
[/QUOTE
Umeuliza kitoto sn hata ueleweshwe vipi hutoelewa maana inaonyesha nawe ni mtoto so ni ngumu kugundua utoto ukiwa mtoto
 
hv nyie ndo ma great thinkers kweli au kwa sababu kauliza kitoto na nyie mnajb kitoto
 
kwa kweli nimepata majibu ya kutosha kwa wengi wao kuhusu huo utoto!! sababu hata Mumeo /Mkeo ataogopa kuomba msaada wa ufafanuzi wa jambo kutokana na kufikiri kila unalolijua na yeye analijua kama unavyolijua wewe. Kwa ufikiri /mtazamo wa kati niliokuwa nao majibu mengi niliyoyasoma humu ni ya kitoto!!:nerd::nerd:
 
naamini mchangiaji wa kwanza angechangia tofauti wote msingechangia utoto wenu huu......acheni kuigana
 
Habari wadau,

Kuna hili neno 'analeta utoto ndani ya ndoa' mara nyingi naliona kwenye kuhusisha ugomvi ndani ya ndoa kati ya mke na mume, kwa wenye uelewa wa hilo neno mambo yepi hasa yakifanywa ndani ya ndoa humaanisha utoto?

Pia ni akina nani anaeongoza kuleta mambo ya kitoto ndani ya ndoa kati ya mke na mume? Kuna umuhimu wa kuwa na kitabu cha muongozo wa ndoa ili wanandoa kutotofautiana katika maswala ya maisha ya kila siku?

Ni kweli kwenye baadhi ya ndoa kauli hiyo ipo sana na hasa wanawake huwaambia wanaume maana wanaume wengi huwa ni wagumu sana kuachana na maisha ya nyumba yaani maisha kabla ya ndoa. Mtu ameoa lakini bado anataka ratiba yake ya maisha iwe ileile bila kujali ile kauli ya "ninyi si wawili tena bali sasa mmekua mwili mmoja"
Na hata wakati mwingine kwa wadada pia zile tabia zao za kuambana na marafiki wasioolewa na kuendelea na ratiba zao pia huleta shida na kupelekea kauli hiyo lakini kwa sababu wadada huwa wanaandaliwa na kufundishwa maisha ya ndoa kwao wao ni rahisi kuishi kwa kuepuka maisha ya kabla ya ndoa labda ukute mwanamke ambaye hajapitia maelekezo hayo au hakuandaliwa.
Wanaume wengi huwa wanafundishwa maisha ya ndoa na wake zao maana ni wachache walioandaliwa kuishi maisha ya ndoa.
Hope nimekusaidia Ndoa njema dogo.
 
Back
Top Bottom