Umetisha mkuuMtumishi :
Hello Binti Bwana asifiwe
Binti:
Amen mtumishi
Mtumishi :
mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti:
Hapana. Sina mpenzi.
Mtumishi:
nakupenda Binti tuishe wote Kama mke na mume , Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Binti:
Lakini mimi sikupendi jamani!!!
Mtumishi:
Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo."
Binti:
Mh!! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno?
Mtumishi:
Injili ya Mathayo 12:34b "Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake."
Binti:
Jamani leo kazi ninayoi!!. Mi ntajuaje kwamba we ni mkweli na mwaminifu?
Mtumishi:
Injili ya Marko 13:31 "Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe."
Binti:
Wewe! Na kwanini umekuja kwangu? Wasichana mbona wako wengi tu!
Mtumishi:
Mithali 31:29 "Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote."
Binti:
We una mambo wewe!! Sasa mimi kwangu umependa kitu gani?
Mtumishi:
Wimbo Ulio Bora 4:7 "Mpenzi wangu, u mzuri pia, Wala ndani yako hamna ila."
Binti:
Mh! Huo uongo, mbona mimi hata sio mzuri kihivyo. Unaongeza chumvi tu!
Mtumishi:
Mithali 31:30 "Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa."
Binti:
Nikisema nimekukubalia itakuaje!?
Mtumishi:
Mwanzo 2:24 " Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
Binti:
Jamani we mkaka., Inakuaje unajua maandiko kiasi hicho?
Mtumishi:
Yoshua 1:8 "Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana."
Binti:
Wowwww! Naona unampenda sana Mungu.
Mtumishi:
Zaburi 34:8 "Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini."
Binti:
Mh! Haya bwana. Basi nipe muda nifikirie ombi lako.
Mtumishi:
Wafilipi 4:8 "Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Binti:
Mh! Jamani wewe, haya, nimekubali. Mpaka hapo nimekupenda na nipo tayari kuolewa na wewe !!
Mtumishi:
Ufunuo wa Yohana 22:21 "Amina"
Nakutafutia mstari mwingine mpaka unikubalie.... SubiriBinti: Ila mimi sitaki sex hadi ndoa.
Mtumishi: 1korintho 7:5 "Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivo. " na mimi sijaafiki.
Binti: Basi kama utataka sex na mimi naomba hela, uninunulie na simu imeharibika, kodi imeisha.
Mtumishi: Nimekumbuka bibiye, Mithali 6:12 "mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake" nitasubiri hadi ndoa.
Yasemekana wengi wao ni washamba flani hivi kwenye mapenzi . Sijui kuna ukweli gani
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewala sana mama wachungaji..ni watamu mnoo na wengine wanarusha hadi kojoo la motoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, noma sana!!Binti: Ila mimi sitaki sex hadi ndoa.
Mtumishi: 1korintho 7:5 "Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivo. " na mimi sijaafiki.
Binti: Basi kama utataka sex na mimi naomba hela, uninunulie na simu imeharibika, kodi imeisha.
Mtumishi: Nimekumbuka bibiye, Mithali 6:12 "mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake" nitasubiri hadi ndoa.
Upo sahihi mkuu...halafu wanapenda sana kunywa kwa siri,kuna mmoja kila nikikutana nae alikua ananiomba nimpelekee dompo 2,anazipiga kama maji halafu anatafuna karafuu shughuli imeishaa🤣🤣🤣Kusema kweli ni watamu sana na yale madeko ya aibu aibu wanapandisha stimu sana.
Ukiingia nae chumbani ile sitaki nataka huwa inapandisha stimu sana ukishafanikiwa kumfumua unacheza derby game mpaka anamsahau baba yake wa kiroho.
Mungu awabariki sana watumishi wanawake watumishi wa bwana siyo kwa utamu ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol vipi na marinda mnawafumua kama kawa au? ??Kusema kweli ni watamu sana na yale madeko ya aibu aibu wanapandisha stimu sana.
Ukiingia nae chumbani ile sitaki nataka huwa inapandisha stimu sana ukishafanikiwa kumfumua unacheza derby game mpaka anamsahau baba yake wa kiroho.
Mungu awabariki sana watumishi wanawake watumishi wa bwana siyo kwa utamu ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Wanajua mastyles na manjonjo mengine au ? ?Nimewala sana mama wachungaji..ni watamu mnoo na wengine wanarusha hadi kojoo la motoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeuwiii, umetisha mkuu[emoji3] ila mama wachungaji si wana baba zao hao, so walichepuka na wewe eeh, aisee usimwamini mtuu.Nimewala sana mama wachungaji..ni watamu mnoo na wengine wanarusha hadi kojoo la motoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazuri sana wale wanachepuka kwa akili sana...Yeuwiii, umetisha mkuu[emoji3] ila mama wachungaji si wana baba zao hao, so walichepuka na wewe eeh, aisee usimwamini mtuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol vipi na marinda mnawafumua kama kawa au? ??Vipi Wanajua mastyles na manjonjo mengine au ? ?
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app