Utoko ni ute mzito mweupe(as maziwa mtindi) kiafya kama hayana harufu wala rangi kama ya njano or brownish hayana madhara yoyote
kizazi huwa kinajisafisha chenyewe throughout out your calender na kiafya haishauriwi kujitia vidole ndani ya uchi/tupu na kujitoa ute huo mzito kwani pia una bakteria maalum kwa kulinda uke
haimanishi usijisafishe ila safisha vizuri mashavu ya uke pamoja na mikunjo yake kiungalifu na umakini mkubwa kwa maji ya kutosha bila sabuni.