hayo mengine siwezi kuyajibu wataalam watakuja. nijuavyo niku wa kitenda cha uume kuingia ukeni ni taarifa tosha kuwa huyo mtu sio bikra tena. Bikra ni yule ambaye hajawahi kuguswa. swala la damu ama sio damu yanaweza kuwa kiashiria cha kuguswa na kutokuguswa lakini hayaelezei ubikira.😛hoto:
kama kuna mwanamke anajiona bikira kwa kutengeneza hospitalini ni mjinga na mdanganyifu tu, kwakuwa alishawahi kuruhusu uume hapo kabla.Nijuavyo mimi mwanamke Bikira ni yule ambaye hajawai kuguswa kabisa.