mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Yaap ndo nataka kujua utofauti wake
Hiyo hata Smart tv inafanya vizuri tu.Hiyo android tumeitumia nimeipenda kwa sababu kama una smart phone na una bundle una connect kwa blue tooth halafu chochote unachotaka kuangalia say movie, mziki mpya au chochote unaangalia kule kwenye big screen ya TV. Mfano You tube unaipata kule kwa TV kama umejiunga Netflix ma muvi yote unaangalia kwenye TV yako.
Android tv inakuwa na playstore, ila Smart tv inakuwa na store ambayo wamekuwekea limit ya app zao wenyewe.Yaap ndo nataka kujua utofauti wake
Siku nyingine ukiwa unahitaji kujua au msaada wa kitu chochote epuka sana ku tag wadau specificHabari wadau utofauti kati ya Tv ambayo ni smart android tv na smart tv tu nini Chief-Mkwawa
View attachment 1925282View attachment 1925284
Zote mbili ni Android Mkuu,Habari wadau utofauti kati ya Tv ambayo ni smart android tv na smart tv tu nini Chief-Mkwawa
View attachment 1925282View attachment 1925284