Naomba ambaye alishawahi kukutana na hii changamoto afafanue aliisolve vipi majina katika vyeti yanatofautiana na majina ya kitambulisho Cha taifa
Mungu amsaidie atatue hilo
Hao ni watu wawili tofauti.Kama unataka awe ni mtu mmoja,nenda RITA wakakuelekeze cha kufanya.Namaanisha vyeti vya shule vinasomeka kwa majina mawili tu lakini NIDA Kuna majina matatu mfano Kwenye vyeti Hamis Isdor,lakini Kwenye NIDA ni Hamis Isdor Abel
Wizara ya Ardhi tena ? au mie ndio nina wenge la usingizi maana ndo naamka hapa.....Nenda kwa mwanasheria akuandalie document ya kubadilisha jina unakwenda wizara ya ardhi unaisajili shughuli kwisha