What are the new scientific theorems? Can you mention some?
String theory, theory of quantum electrodynamics, theory of every thing.
What are the new scientific theorems? Can you mention some?
QE is not a new theorem while String theorem was first studies in the 1960's.String theory, theory of quantum electrodynamics, theory of every thing.
QE is not a new theorem while String theorem was first studies in the 1960's.
Namuona Thomas Edison wapi Nikola Teslakwanza hongera kwa kujiuluza maswali kama hayo kama mwana-intelijensia wa hapa jamvini
pili kabla hatujaenda mbali ningependa nikupe homework, katafute utofauti wa maneno hayo mawili "KUGUNDUA na KUVUMBUA" kwani naona umeyatumia bila mipangilio
kwa upande wangu naweza kusema kuwa enzi za akina COPERNICUS, GALILEO, NEWTON, KEPLER, DA VINCI, FARADAY N.K. walikua na mavichwa manene mno(fikiria sana) tofauti na sasahivi ambapo mabadiliko makubwa ya ki-teknolojia yamechukua nafasi, hii inamaanisha kuwa zamani watu walikua na mambo machache ubongoni na idea ngumu kumeza zilikuwa nyingi za kutosha kwahiyo hata ku-concentrate kwenye jambo moja ilikua rahisi tofauti na sasa,
sasahivi mambo mengi sana yamerahisishwa sana kwahiyo inakuwa ngumu kidogo kwa baadhi ya watu kuumiza medulla zetu kwani karbu kila kitu kipo in a simple way
kitu pekee ambacho kina sababisha huo utofauti wa wanasayansi wa kale na wasasa hapa duniani ni ubongo pekee
mf.
miracles zote zilizofanywa na wright brothers, Henry ford, Thomas Edison, Einstein, Faraday n.k.(the list goes on and on) zilianzia ubongoni na baadae zikawa observed physically, zamani kulikuwa hakuna idea za revolution of a planet earth around the sun mpaka pale Copernicus alipokuja na theory zake
i'm not going to accept your conclusion kwamba hakuna kitakachoweza kugunduliwa because you cant predict the future
Cc. Monstgala, Kiranga, Dreson4, Eiyer Ishmael, mkwesya Makambo, Mkuu wa chuo, @sibertech, @D'revis, na wengineo wooooote
.made in mby city.
ni kweli wanasayansi wa sasa wamerahisixha vitu vingi na kuviboresha lakini pamoja na kufanya hivyo me naona kuwa athari zinazotokea kutokana na vi2 ambavyo wamegundua ni kubwa ukilinganisha na wanasayansi wa zamani (old scientist).!