Utoaji mimba

Kitendo cha hao madaktari kukubali kushiriki katika utoaji wa mimba hizo inachangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa vitendo vya ngono zembe hususan kwa wanafunzi. Jambo la msingi ni kwa madaktari hao kutambua kuwa jambo wanalofanya ni dhambi kulingana mafundisho ya dini na kinyume na maadili ya Mtanzania na mbaya zaidi wanashiriki kuua viumbe visivyo na hatia.

Kama watakataa kutoa mimba hizo hiyo itatoa fundisho kwa wote wanaoamini kuwa pindi mimba ikinasa nitakwenda kutoa. Jamii pia inatakiwa kuangalia jambo hili kwa upana zaidi na Serikali kuingilia kati kwa kufanya ufuatiliaji wa kina na kutoa adhabu kali kwa wale wanaoshiriki kwenye shughuli hiyo. Inasikitisha sana kusikia kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wanatoa mimba zaidi ya nne kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Ni vyema pia wanafunzi hao wakatambua kuwa hatari kubwa inayowakabili mbele yao ni kukosa uzazi kabisa kwa kipindi cha maisha na kuwa "KAMA MIMBA WANATOA, UKIMWI WATATOLEA WAPI?"
 
Tuanze na nyie wakaka muwe mnavaa condom


Kondomu haziaminiki Roza...cant imagine kuna marafiki zangu imewatokea wenzi wao wame concieve na walivaa kondomu....unajuwa inategemeana na msichana ...wasichana wengi hasa wenye umri mdogo below 25...na hasa ambao hawajawahi kutoa mimba ....hushika mimba kwa urahisi sana....
 

TUFANYEJE?? - Anza na huyo rafiki yako Dr Death! Mkabidhi kwa vyombo vy ausalama kwa kuvunja sheria.Baada ya hapo watashika adabu na kukoma kuchoropoa mimba za wanafunzi.Wanafunzi nao watajifunza pale watakapokosa pa kwenda ku fush....wataacha kucheza michezo ya kikubwa.Wenye kuzoea na kushindwa kuacha watacheza salama.
 

Unitia shaka DA yaani wote unawajua na unajua how fast they are..................:A S 13:
 
Unitia shaka DA yaani wote unawajua na unajua how fast they are..................:A S 13:

Hivi in urban Tanzania,out of every 100 wangapi wanatoa au wametoa mimba-statistics zinazopatikana underground zinatisha,hence hii topic ingusa wengi sana although wengi wetu uplay innocent na kudai utoaji mimba ni alien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…