Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Wingi wa sherehe za kitaifa hasa zinazoalika viongozi wakuu wa kitaifa huwa zina mambo mengi sana. Usafiri vyakula malazi na maandalizi hugharimu pesa nyingi sana.
Angalia tu msururu wa magari ya viongozi.
Tupunguze masherehe
Angalia tu msururu wa magari ya viongozi.
Tupunguze masherehe