Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Msaada pls kuna website nimejiunga wanataka nivalidate account kwa kuwatumia passport/driving licence or national ID pamoja na utility bill.
Nimetuma scanned document driving license na karatasi niliyonunulia umeme Siku kadhaa zilizopita salsa wamenambia ac Yang bado ni unverified means wameikataa hyo electricity bill.
Msaada kwa wajuz wA mambo..nifanye nn? maana nimewasilina nao wanadai nitume electric.water.gas.phone bill.au cable TV bill.nimetuma ya umeme imegoma au kikubwa ninini had I wadai hivi vitu?