Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,470
- 4,971
Sasa. Anatokea punda anakomaa kabisa anasema haijalishi. Mwanaume lazima aheshimiwe!!! No thank you:Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Sidhani kama respect inategemea mtu ahudumiwe, hata kama anahudumiwa bado kutawaliwa ni jambo jingine (mtawala go directly proportional with command) bado hailipiAcheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Sasa kumbe umeliona tatizo. Nyinyi huwa mnatukana wanawake generally as if huwa hakuna wema. As if wanawake wote wana tabia mbaya ndo maana tunapopoana na tutaendelea kupopoana hadi hizi mada za kutukana na kudhalilisha wanawake ZIFE! zimekua too much na hamtaki wanawake wajitetee na akitokea mmoja akatolea mifano yenu mnamwita feminist. acha na wanawake tuelezee upande mbaya tunaouona kuhusu wanaume kwanini mnataka nyinyi tu ndo muongelee mabaya ya wanawake as if jamii imechafuliwa na wanawake pekee.Huyo dada nilishindwana nae hapo tu, mnajadili mambo mengine, yeye analeta mifano ya wanaume anaokutana nao yeye wenye peculiar characters ambazo hata sisi wanaume zinatushangaza. Hajawahi kuwaza kwamba kuna bright side pia. Mungu amsaidie sana akutane na wanaume wazuri wanaojielewa ili angalau apone trauma zake.
mbona umefika mbali ivo🤣🤣🤣🤣🤣 Ana utindio wa ubongo
Matembele/ SalivaFront.Upo sahihi.
Matembele/SalivaFront
I hate youuu too much 😂😂😂😂Boda boda, i hate you 😁
Kaja na kwangu. Sio mzimambona umefika mbali ivo🤣🤣
we unasema kwelKaja na kwangu. Sio mzima
Ila utii ni kwa faida ya mwanamke asipotii atakuwa single mamaAcheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Tunawafahamu wanaume wanaotundikwa kichwa chini miguu juu kusachiwa hadi silver na bado hawaheshimiwi. Habari za kuhudumia mwanamke hatujawahi kukataa ila nao wako kama mgodi uliokufa, unaweza uhudumia hadi ufilisike lakini bado tu tabia hovyooo.....Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Sasa alichoandika hapo kina shida gani, hiyo asili ya mwanamke kumtii mwanaume inaendana na asili ya mwanaume kumhudumia mwanamke na mimi wala sipingi hilo, mimi napingana na wanaotaka mwanaume na mwanamke wasaidiane majukumu halafu bado wanataka utiiHii comment yako akiiona Jadda umekwisha
Uzi ufungwe...!😍Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Haha hapana bhana nina akili za kawaida tu za kuvukia barabaraNikikuambia una akili nyingi huwa unakataa 🤔
JadaAcheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Niamini mkuu.Haha hapana bhana nina akili za kawaida tu za kuvukia barabara
kwanza nambie ulijuaje 😂😂🤣🤣🤣 eeeeh ndiwo ndiwo
Mi si dada ake 🤣kwanza nambie ulijuaje 😂😂
Sikuamini tenaaa😂😂🙌🏾Mi si dada ake 🤣