Vichaa hatuwezi kupata, vichaa watapata wanawake maana hata sasa unaona huko mtaani nani anaehangaika na kausha damu na marejesho? [emoji848]Nature my foot ninyi endeleeni kujifariji na huo ujinga wenu mnaouita nature mkidhani eti wanawake watakuja kujirudi na kuwa kama bibi zetu, kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo wanawake wanavyozidi kuujua uhalisia na kuachana na uwongo wa hizi kauli zenu, jiandaeni kisaikolojia tu maana alama za nyakati zinaonesha yajayo yatawavuruga zaidi mpaka muwe vichaa hapa mbona hamjaona kitu bado
Basi ndio mdeal na hao na siyo wanawake wote, wanawake msiowahudumia waacheni kama walivyo, na pia siyo kila mwanaume anastahili kupewa utii kaa ukijua hilo
Asante kwa kumtagNakala aione Guantanamoh
Exactly [emoji817]_ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.
_ Mwanaume hawezi kua mwanamke sababu ni mlevi au sababu ni masikini, vilevile mwanamke hawezi kua mwanaume kwa sababu anatafuta pesa.
_ If u can't grasp such a small concept then siku zako za kujuta zimekaribia.
What's wrong with this society au whats wrong with you? [emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]basi turudishe enzi za utumwa. Tujue moja.
Kwahiyo mwanamke anastahili kutendewa ubaya na kudharauliwa kwasababu ni mwanamke? Tf is wrong with this society?
Na bado atakuja kukubishia sababu yeye hoja zake anajenga katika misingi ya kubishana ashinde na sio kujenga hoja za rutuba kwa jamii.Mwanaume wako ndio ana tabia hizi? Mbona mtoa mada hajataja izo sifa popote. Nimekuona mara kadhaa unapenda kuchafua kwanza image ya wanaume kwa assumptions zako binafsi ndio utengeneze hoja, izo sifa ulizozitaja hata mwanamke anaweza kuwa nazo. Suala la mmong'onyoko wa maadili kwa wanawake ni tatizo kwa sasa tena hao wanaume wema ndio victims wakubwa ukilinganisha na bad boyz unaowasakama.
Sasa tazama ulivyo na akili za shortcircuit. Hapo umetazama mwanaume kulala na ndugu wa mkewe. Kwann usitazame kwa jicho la ndugu wa mke kwenda kuharibu mahusiano ya ndugu yake kwa kumshawishi shemeji yake kulala nae? [emoji848]View attachment 3011801
Yani hata aje nani anielezee. Wanaume wenye matendo kama haya acha wapumzike tu kwa amani. HAWASTAHILI HESHIMA! Period ..
nyinyi mna kandamiza wanawake kwa kisingizio cha kwamba wakijitetea basi wao ni mafeminist. Kwenye ndoa lazima heshima iwepo. Mwanaume asipo kuwa na heshima na mkewe ndo hivyo analala hadi na mashemeji zake wagonjwa atalala hadi na mkwewe.
Aisee iteni majina yote ila mwanaume asiejiheshimu hastahili heshima. Pelekeni undezi hukoo
Kwann wewe haumuoni huyo mwenzako aliyelala na shemeji yake? Akili za wapi unatumia hapa? [emoji848]Wewe unavyokandamizaga wanawake hujioni? Wanawake wa JF mmewajengea uoga hata wa kujitetea wanadhani wakisema wataonekana feminists! WANAUME PIA MNATAKIWA MJIHESHIMU ILI MHESHIMIWE.
View attachment 3011812
Haya muone mwenzio huyo
Leo ni kelele siku zijazo hizi kelele zitageuka kuwa ni tabiri au maono ambayo mliyapuuza na yamewagharimu.Unafikiri hata wametujengea uoga basiii, tumewapuuza tu na kuwaacha wajipigie kelele zao wakichoka wakajitafute walipojisahau.
Kawaida yake kuhamisha magoli ili kupata ushindi kwa nguvu.Sitakujibu kwa namna ulivyonijibu lakin najua point yangu umeielewa. Mada inahusu mmong'onyoko wa maadili basi baki kwenye dhumuni la mada sio unaleta masuala ya kubakwa, ulevi, unyanyasaji ambayo hayahusiani na dhumuni la mada
Kuna muda inafika wanaujua ukweli na wanakuwa speechless. Wanawake wa kisasa kujifunza ni hadi wapate maumivu sababu wameshachagua kukumbatia ujinga kwa gharama yoyote.Jipeni moyo ivyo uko kwenye jukwaa love connect wenzenu walioinga 30+ wanatafuta mume ambae anapumua tu. Habari za hela, tall, dark, handsome tupa kule
Kama hizo ni factors muhimu basi wanawake wa sasa mnaweza kuwashinda wanaume.Kwanini ulevi na unyanyasaji usihusiane?? Kwani kina nani wanautenda? Si hao wanaodhani kwa kuwa wameumbwa wanaume basi dunia nzima iwatetemekee hata kama wanakosea,
Kwa hizi mbaga zake i bet you atakuja kutana na hao hao. Kuna msemo wa kiswahili unasema kwamba alifikirialo au aliwazalo mpumbavu ndilo litakalomtokea.Huyo dada nilishindwana nae hapo tu, mnajadili mambo mengine, yeye analeta mifano ya wanaume anaokutana nao yeye wenye peculiar characters ambazo hata sisi wanaume zinatushangaza. Hajawahi kuwaza kwamba kuna bright side pia. Mungu amsaidie sana akutane na wanaume wazuri wanaojielewa ili angalau apone trauma zake.
Kwa nini hastahili?Acha kumpa sifa asizo stahili.
Kabishi sana.Kaka una akili sana. I am following you right away. Kama ungekuwa mwalimu au kama ni mwalimu basi wanafunzi wako watakuwa wanaelewa sana. Huyo dada hayo matatizo yote uliyo notice kwake ni kweli anayo na ni zaidi ya watu 10 washamwelekeza ila ni mbishi kushinda maelezo.