Tatizo lako unalazimisha kila swali liwe na jibu la moja kwa moja (kama vile ndio au hapana) na mtu akikujibu tofauti na ulivyotarajia unaanza kusema ametoka nje ya mada, sasa hiyo siyo namna ya kujadili hoja bwamdogo usilazimishe watu wakujibu kile unachotaka kusikia wewe, kwa mfano hilo swali lako hapo halina jibu la moja kwa moja kwa sababu siku hizi kuna aina nyingi za mahusiano kwahiyo inategemea hao watu wapo kwenye mahusiano ya aina ganiMkuu mbona unazunguka halafu hautoi jibu umesema ili stability ya mahusiano iwepo mwanaume anatakiwa kuhudumia ndipo mwanamke amtii... sasa nimeuliza kwamba vipi kuhusu wapenzi ambao hawaishi pamoja au mke ambae ana ajira je hapa mwanaume bado anawajibika kuhudumia?
Unatamba mwenyewe sio shida zako 😂Ndo hivyo, kila mtu na dada yake mjini hapa, haha
Na nikukumbushe sisi ndio viumbe pekee tuliyoongea na Shetani (Nyoka) livePasword yenyewe ndio ipo apo kwenye kuishi nanyi kwa akili.
Nikitulia ntakupa ukausome ss hivi kuna kitu nafanya.!!Nisaidie huo mstari mkuu huenda kuna mahala nakwama😅😅
Sasa maelewano yapi ikiwa mmoja anatakiwa kufuata na kutii tu amri za mwenzake, hapo kwenye kila mtu kutambua nafasi yake ndipo kwenye utata hapo, kwa sababu kuna mmoja hapo analazimishwa kutambua nafasi ambayo hajajipangia yeye na ni kinyume na utashi wakeMaelewano baina ya pande mbili , (kila mtu atambue nafasi yake)
Sawa basi ngoja nielezee izo aina ili unijibu. Aina ya kwanza wapenzi mnaishi sehemu tofauti yaani boyfriend and girlfriend na aina ya pili mnaishi pamoja kama mume na mke halafu mwanamke ana ajira inayomuingizia kipato. Je mwanaume atatakiwa kumuhudumia mwanamke?Tatizo lako unalazimisha kila swali liwe na jibu la moja kwa moja (kama vile ndio au hapana) na mtu akikujibu tofauti na ulivyotarajia unaanza kusema ametoka nje ya mada, sasa hiyo siyo namna ya kujadili hoja bwamdogo usilazimishe watu wakujibu kile unachotaka kusikia wewe, kwa mfano hilo swali lako hapo halina jibu la moja kwa moja kwa sababu siku hizi kuna aina nyingi za mahusiano kwahiyo inategemea hao watu wapo kwenye mahusiano ya aina gani
Kama mume hana kipato labda.Hebu achana na theories ni wanawake wangapi wenye utii wanapata mahitaji yao yote toka kwa waume zao wa ndoa
Nafasi ya mwanamke inajulikana na wajibu wa mwanaume unajulikana kila mmoja akisimama kwenye nafasi yake ndoa ni amani.Sasa maelewano yapi ikiwa mmoja anatakiwa kufuata na kutii tu amri za mwenzake, hapo kwenye kila mtu kutambua nafasi yake ndipo kwenye utata hapo, kwa sababu kuna mmoja hapo analazimishwa kutambua nafasi ambayo hajajipangia yeye na ni kinyume na utashi wake
Kwanza kabisa hujanitajia aina zote za mahusiano inaonesha hata huzijui hizo aina zenyewe, pili bado swali lako halina hilo jibu la moja kwa moja unalotaka kulisikia, mwisho hata kwa hizo aina ulizonitajia inategemea wenza mmekubalianaje kuhusu namna ya kuendesha hayo mahusiano yenuSawa basi ngoja nielezee izo aina ili unijibu. Aina ya kwanza wapenzi mnaishi sehemu tofauti yaani boyfriend and girlfriend na aina ya pili mnaishi pamoja kama mume na mke halafu mwanamke ana ajira inayomuingizia kipato. Je mwanaume atatakiwa kumuhudumia mwanamke?
Mwanamke kama hauna utii achana na kuingia kwenye ndoa utaishia kuwa senior single forever then utaishia kupata cheo cha ushangaziIli Mwanaume utiiwe kwenye ndoa tengeneza mazingira ya kupata hiyo heshima ya Utii
Nta dislike mpaka nyue mashangazi na feminist mtakapopata akili nzuri na bado huu ni mwanzo tu!Django doer 😂😂😂 kazana tu ku dislike comments zangu
Sidhani kama tumeshindwa na hainipunguzii kitu. ila ni vile tu wanawake siku hizi ham act like real women. Mna mentality ya kuona kama mnalingana na wanaume in terms of everything ambako hakutawahi kutokea milele wewe unaweza kuhisi ni sawa because system na sheria zinawabeba ila trust me kuna mda utakuja kulielewa hili, sisi sio kwamba tunataka mtunyenyekee kama mnavyodhani ila ni ile feminine quality ambayo wanawake wengi wameipoteza kwasababu ya utandawazi.Vile wanaume wa jf mkishindwa hoja mnavyogeuka pyschologists na philosophers, hizi defensive mechanisms zenu nishazizoea mkuu cha msingi we jikite kwenye mada iliyoko mezani, mimi hata nikishindwa kuishi na mwanaume yeyote yule sidhani kama wewe itakupunguzia kitu
Hayo mambo ya vipato umeyaleta wewe, hoja yangu ni kwamba kama mwanamke anamsaidia mwanaume majukumu yake basi anastahili kumsaidia na nafasi yake, ila kama mwanaume anapambana peke yake na majukumu yake bila kujali kipato chake wala kuhitaji msaada wa mke basi huyo anastahili utiiKama mume hana kipato labda.
Utii uleta upendo.
Uliona wapi ndoa ya wababe wote ikaenda
Sasa kama hakuna gari inayoendeshwa na madereva wawili kwanini kwenye upande wa majukumu mnataka kuwe na madereva wawili, unafahamu kwamba mkiwa kwenye gari jukumu la dereva ni tofauti na jukumu la abiria yeye abiria kazi yake ni kustarehe huku dereva ndiye akitakiwa kuwa makini kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari, sasa inapotokea dereva anataka abiria naye amsaidie baadhi ya mambo kama kumuangalizia alama za barabarani au vyombo vingine vya usafiri hapo hiyo gari inakuwa na madereva wangapi au wewe unadhani udereva ni kudeal na usukani gear na pedals pekee siyoNafasi ya mwanamke inajulikana na wajibu wa mwanaume unajulikana kila mmoja akisimama kwenye nafasi yake ndoa ni amani.
Hakuna gari iendeshwayo na madereva wawili
Sawa, tuachane na suala la aina za mahusiano, tujadiliane kwa mtazamo wako binafsi. Situation ya kwanza wewe na mpenzi wako mnaishi sehemu tofauti na situation ya pili mnaishi kama mume na mke halafu wewe una ajira inayokupa kipato. Sasa mmekaa chini mjadiliane kuhusu suala la nani anawajibika kutoa huduma wewe kama mwanamke utakuja na terms zipi mezani?Kwanza kabisa hujanitajia aina zote za mahusiano inaonesha hata huzijui hizo aina zenyewe, pili bado swali lako halina hilo jibu la moja kwa moja unalotaka kulisikia, mwisho hata kwa hizo aina ulizonitajia inategemea wenza mmekubalianaje kuhusu namna ya kuendesha hayo mahusiano yenu
Elewa point yangu kwa malezi ya kiafrika dereva abakie kuwa dereva na konda abakie kondaHayo mambo ya vipato umeyaleta wewe, hoja yangu ni kwamba kama mwanamke anamsaidia mwanaume majukumu yake basi anastahili kumsaidia na nafasi yake, ila kama mwanaume anapambana peke yake na majukumu yake bila kujali kipato chake wala kuhitaji msaada wa mke basi huyo anastahili utii
Sasa kama hakuna gari inayoendeshwa na madereva wawili kwanini kwenye upande wa majukumu mnataka kuwe na madereva wawili, unafahamu kwamba mkiwa kwenye gari jukumu la dereva ni tofauti na jukumu la abiria yeye abiria kazi yake ni kustarehe huku dereva ndiye akitakiwa kuwa makini kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari, sasa inapotokea dereva anataka abiria naye amsaidie baadhi ya mambo kama kumuangalizia alama za barabarani au vyombo vingine vya usafiri hapo hiyo gari inakuwa na madereva wangapi au wewe unadhani udereva ni kudeal na usukani gear na pedals pekee siyo
ebu ntolee degedege lako apa,,ukikataliwa acha majungu mkaka ebu kua mtu mzima basi we dogo hujafunzwa kwenu nin.Nta dislike mpaka nyue mashangazi na feminist mtakapopata akili nzuri na bado huu ni mwanzo tu!
Hivi hii ya wanaume kuona kwamba wanawake wanataka kuwa sawa na ninyi inatokana na nini, kwa sababu mimi sidhani kama mwanamke kushindwa kumtii mwanaume kunamaanisha kwamba wako sawa, na huo utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke sidhani kama ndio justification ya mmoja kulazimika kuwa chini ya mwenzake hata kama hayuko tayariSidhani kama tumeshindwa na hainipunguzii kitu. ila ni vile tu wanawake siku hizi ham act like real women. Mna mentality ya kuona kama mnalingana na wanaume in terms of everything ambako hakutawahi kutokea milele wewe unaweza kuhisi ni sawa because system na sheria zinawabeba ila trust me kuna mda utakuja kulielewa hili, sisi sio kwamba tunataka mtunyenyekee kama mnavyodhani ila ni ile feminine quality ambayo wanawake wengi wameipoteza kwasababu ya utandawazi.
Singo maza punguza povu relax my dear 😝Shobo zitakumaliza,,we ungekua na akili usingekaa ukatag text zangu ni iko kiherehere ka kojo la asubuh kinakusumbua,
ata huo ufemanist sjui unafanana vip,,ila naona tu unatafta pa kushushia pumzi ,, endelea wala usichoke,, janaume ila mind set ya binti wa chuo,, rubbish