Uthubutu wa Rais Magufuli...


Kwa makusudi kabisa nilacha kuzungumzia awamu ya Kwanza na uthubutu wake na matunda ya kazi zake.

Call it abstract si provoking, nimeangalia mazingira ya leo na namna ambapo kama Taifa tunaweza kumtazama Rais na kupata kiburi, ujeuri, uimara na uthubutu kupigania haki zetu na si kuendelea kuburuzwa!
Yes, we all ought to rethink and become bold and daring including saying no without fear!

I hope folks can put aside all sort of sentiments za ubaya au uzuri but more or so ask our souls if we are strong and courageous... we can win wars and battles we are facing including hii authoritarian rule ambayo its a threat to our shaky stability and unity.

Leo MP wa Tanzania including Speaker should be bold enough to say no to executive branch and demand accountability and adherence to rules and law and not be scared of Amri. Civic discourse should be encourage and not be tampered with kisa supreme authority!

It’s interesting when you look at how bad of decision was to tackle Acacia and Barrick... but something had to be done against the giant for us to renegotiate terms and contracts.

If leo wote tukikataa bila woga uonevu wa Polisi... au RCs DCs... how many jails would they need to build before the wave of resistance catches up and forcing the totalitarian authorities to come to terms hawawezi kutuchezea?

Yes it’s easy to poke the political sphere and climate, but same can be applied in uzalishaji, simple ways of life and governance to rid bad habits that have been embedded and made norm by our society and nation!
 
Hahaha kwa UTHUBUTU ulio nao iko siku atakunywa sumu ya Panya. Mimi sioni Kathubutu nini na majukumu ya serikali ni yapi?! Angeiifuta CCM na kuiunda upya ningesema kathubutu, Maana kama hilo dudu bado lipo naona anatwanga maji tu. Majizi na mafisadi yote anayo humo ccm. Ayafunge au ayafukuze tumsifu.
Mnasemaa saana mimi mwananchi sioni hata kimoja na sijui vinanisaidiaje, Hospitali hakuna dawa, Rushwa ipo pale pale, Mahakama bado hazitendi haki, sasa mnachomsifia huyu mtu ni nini?
 
Uthubutu uko wa aina nyingi, maana hata yule msaliti naye ana uthubutu wake kwenda kuisaliti nchi kwa mabwana zake mabeberu; huo nao ni uthubutu. Nadhani ndio uthubutu unaoutaka wewe.
 
Maghufuli atabaki kuwa icon kubwa sana, time will tell, ana mapungufu yake ila ni raisi wa aina yake ,hawa hawa wanaomlaumu ndo watakuwa wa kwanza kumkumbuka jamaa,
Ndiyo, lkn kuna vitu vingine ni unnecessary anavifanya. Kuondoa roho za watu kwasababu za kutofautiana kimtazamo.
 
Rais Magufuli ndio kiongozi watanzania walikuwa wakimsubiri baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani mwaka 1985.
Kama binadamu asiye na mapungufu Rais Magufuli ni mtu wa ahadi na vitendo zaidi ya miaka 20 nchi hii ilichezewa na vikundi vya wanasiasa waliokuwa kuwa kimaslahi zaidi ilifikia mpaka nafasi ya Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania walijipangia nani atawale.
Rais Magufuli amekuwa tiba kubwa kwa hawa wanasiasa.
Long live President Magufuli
 
Uthubutu......., Yes
Continuity ... Questiionable!
Uthubutu+good governance +katiba

Hivi SGR imeshafika Dodoma?
Dodoma itakamilika kabla magu hajaondoka?
Stiegler etc etc

Continuity!!!!
 

Umeandika kwa ureefuuuuu..... Are you serious? OR a serious joker?
 
Uthubutu......., Yes
Continuity ... Questiionable!
Uthubutu+good governance +katiba

Hivi SGR imeshafika Dodoma?
Dodoma itakamilika kabla magu hajaondoka?
Stiegler etc etc

Continuity!!!!
Utatumiaje maneno kama "Questiionable" wakati hata kufuatia miradi hufuatilii? Ni hivi...

Kwa sasa kuna awamu mbili zinazoendelea kwa pamoja, ya kwanza (Dar - Morogoro) itakamilika mwishoni mwa mwaka huu, sasa hivi wanakamilisha madaraja, vituo na miundombinu ya kuendeshea.

Zile sehemu zilizokamilika wanafanya majaribio ya kuona kama reli iko sawa.

Awamu ya pili (Morogoro - Singida) hii kwa sasa wanatengeneza tuta la reli pamoja na kutoboa milima ili reli ipite ndani kwa ndani kukwepa mto Mkondoa. Awamu hii itakamilika 2020.
 
Uthubutu uendane na kulinda uhai pia ,vinginevyo uthubutu usioendana na kukemea vitendo Vya kupoteza uhai wa binadamu hauwezi kupata Baraka za Mungu
 
Onesha wapi nchi ilipoharibika,
 
Crap
 

Uchambuzi mbadala mzuri sana huu. Hongera mkuu. LAKINI, ulivyomalizia, umetupoteza zaidi. Kwanza, naamini kabisa kuwa hata wewe binafsi unajua kuwa sio uthubutu wa aina hiyo tunaouhitaji - uthubutu usio na elimu unaodharau taaluma, mantiki na sheria.

Pili unajua kuwa Magufuli anafaidi ujinga uliosimikwa nchini na TANU/CCM tangu awamu ya kwanza kwamba, baada ya yote, nchi itaendeshwa kwa “busara za rais”! Kwamba hakutakuwa na kuhoji wala kupinga maamuzi ya rais; kufanya hivyo ni uhaini! CCM waliung’ang’ania mfumo huo baada ya JKN kutoka madarakani wakitegemea ndio utakaowawezesha kutawala milele na kujichotea rasilimali za taifa bila “bugudha”.

Rais wa Tanzania ana madaraka binafsi juu ya taasisi zote za umma: serikali zote; mashirika ya umma; vyombo vya dola; tume ya uchaguzi; n.k. Maamuzi yake kwenye taasisi hizo ni ya mwisho. Akitaka pesa yoyote ni kiasi cha kumuagiza gavana wa BOT na/au paymaster general. Tena wao ndio watakaoandika maelezo ya justification.

Sasa, hapo inahitaji mtu anayeukwaa urais awe muungwana sana kufuata sheria na kujali haki za binadamu.

Msifu Magufuli kwa kuiona fursa kubwa aliyo nayo rais wa Tanzania na kuamua kuitumia bila simile! Nadhani hata waliojifikiri kuwa “mentors” wa Magufuli sasa jasho linawatoka. Huyu atavurugavuruga kila kitu mpaka waombe “poo”. Nilipoona akiwaswaga jamaa zangu serikalini kuhamia Dodoma na kuanza maisha kwenye magodauni na mapagala - na ikawezekana (hakukuwa na wa kukohoa) nikasema basi nchi imepatikana.

Sasa nasubiri kuona watakapoishia waliokuwa wakidai “CCM ina wenyewe” na “tuna hisa zetu CCM” huku wakimuona Magufuli kama wakuja tu (outsider). Wake up guys, Magufuli is now taking over CCM! Kwangu mimi hiyo ni hatua bora kabisa.

Labda itatusaidia kuwarejeshea akili Watanzania wenzetu hao waachane na tamaa za ki-fisi na kujiunga na juhudi za kuunda katiba mpya inayozingatia demokrasia makini na utawala bora unaoweka mbele haki za binadamu. Hii kutaka rais awe mungu ndio matokeo yake haya. Kila kukicha tunashuhudia watu wazima wakiadhiriwa hadharani kama hawana akili. HATUHITAJI UTHUBUTU WA KIJINGA NAMNA HII.
 
I see, you're not on a straight line, but following a zigzag pattern!

What you're recommending is a sure chaos not much different from what we are about to experience as a result of the dare devil decision making from an individual.

I'll leave it at that for the moment.
 

Ni wajibu wa msomaji kuelewa kwa ufasaha kilichondikwa hata fasihi ndani yake... wenyewe wasomi mnaita abstract art
 

Attachments

  • C3B0A586-566B-4659-B846-D8C2853C8AF4.jpeg
    54.2 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…