Jaman, mi kuna utaratibu nashindwa kuuelewa, hivi maamuzi ya bunge ni kwa ajili ya Wananchi au kwa ajili ya wabunge? miongozo inapoombwa ni kwa ajili ya wabunge au sisi tunaoangalia bunge pia? au inabase kumsafisha yule anayeambuiwa ukweli, na pale vithibitisho vinapotolewa mbona huw havionyeshwi hadharani kama vilivyoombwa hadharani? nini wanaficha? hatua gani tutumie viwe vinaonyeshwa?