hudson sweetbert
Member
- Oct 9, 2015
- 21
- 0
Heri ww ur selected mimi hata bado cjui km nita been selected
Heri ww ur selected mimi hata bado cjui km nita been selected
Kama TCU ambao ndiyo upokea maombi ya kozi zinazotakiwa kutoka kwa wanafunzi na pia kuyafanyia uchambuzi na kisha kuwasilisha majina ya waliokidhi vigezo kwa chuo husika kwanini basi wasingekuwa wanasubiri kwanza confirmation ya chuo ndipo hao hao TCU watoe taarifa ya confirmed selection kwa waliochaguliwa? Kwa sababu mimi naona hizi provisional selection zinawaweka tu roho juu juu wanafunzi waombaji na hasa kama kuna uwezekano wa chuo husika kuengua baadhi ya wale waliokuwa short listed na TCU. Au pengine utolewaji wa provisional selection unaofanywa na TCU kabla ya kusubiri confirmation ya chuo husika ni mbinu ya kunawa mikono kuonyesha waombaji kwamba wao waliwachagua isipokuwa chuo husika ndicho kimewatema.
kutemwa hyo n udsm tu wanpenda sifa.....chuo n biashara wakuache alfu wao wakale wapi........hkuna wakuachwa labda udsm tu
unanitsha ila sio kwa gpa ile frst clas
Habari zenu wakubwa,
Naomba kuuliza kwamba nimekua selected by NACTE UDSM but sijaelewa nini maana ya uchaguzi huo unategemea uthibitisho kutoka chuoni ndio wasi wasi wangu mkubwa sasa ina maana NACTE wanaweza kukuchagua ila chuo kikakutema kama ni hivyo kwanini tunapitia kwao na inakuwaje unakua selected na wao bila uthibitisho kutoka chuo husika!
Mkuu..chuo ndio kinawapa TCU vigezo na sifa za wanafunzi,kwa hiyo wao TCU wanakuchagua kulingana na maelezo waliopewa na vyuo husika
Hivyo nadhani haiwezekani TCU ikuchague then chuo kikukatae
Yani ni kama mimi nikuagize kaniletee gari mpya Murano nyeusi iwe hivi na hivi halafu then wewe ukatae useme siitaki hii wakati vigezo ulinipa mwenyewe
saf sana mdau kama kuna muhusika kaipata tutegemee utendaji kazi
Coz gani mkuu maana na mm ni udsm selected stil waitng for confirmation