Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,201
- 99,939
Sina maana mbaya kusema hili ila napenda Watanzania wajue tu kwa faida ya pekee.
Mgombea Urais kwa Ticket ya CCM jana alikuwa Dar huko Mbagala lakini hakukua na media coverage yeyote na leo hii pia kwenye magazeti habari yake haikuwa na umuhimu wowote ukiacha magazeti yao!
Leo ninavyoandika hapa ukiwauliza ni Wangapi wanajua kuwa Magufuli alifanya mkutano jana nakuhakikishia wengi watasema hawajui!
I stand to be corrected, hivi sivyo ilivyotakiwa kuwa. Na hapo mbeleni CCM mtakua na kipindi kigumu sana sana kumnadi mgombea wenu.
Mkutano wa jana ilikua kama wa Segere au mdundiko tu. Poleni sana,. Wote akili na maskio yalikua Ukawa maana ndio habari ya mjini.