Uthibitisho kua jehanamu ipo chini

Uthibitisho kua jehanamu ipo chini

shetani ni roho
sasa cjui hao watu waliwezaje kumwona wakati haonekani kwa macho
 
MI NILISIKIA HIZO HABARI NIKAAMUA KUGOOGLE NA NDIVYO ILIVYO UKWELI. SASA WEWE GOOGLE KAWAIDA UTAPATA HABARI YOTE. AU UNATAKA NIKUAMBIE NA MANENO YA KUGOOGLE?
Kwani mkuu makaburi si yapo chini ya ardhi?
 
Luna mbingu ya kwanza mpaka ya saba,shetani anaishi mbingu ya kwanza na mungu mbingu ya saba,kwenda mbinguni lazima upite mbingu ya kwanza na utamwona shetani na mapepo yake
 
Habari zenu wakuu,kwa wale wasomi wanaopinga kua hakuna jehanamu basi wasomi na mageologist kutoka Serbia waliprove hilo.walipokua wanachimba sana kwenda chini ardhini walikutana na shetani pia sauti za wafu wakilia mateso makali ya moto.
Source:Google mi siwezi kuweka links
Unachoongea hapo ni kuzimu. Maana jehanumu mpaka sasa haina mtu, itapata wageni wake wa kudumu baada ya hukumu ya mwisho.
 
jehanamu labda ni sayari ya zebaki (Mercury)
 
Back
Top Bottom