Uteuzi wa wabunge wa viti maalum unapingwaje?

maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,030
1,345
Nimejaribu kutafuta sheria inasemaje kuhusu utaratibu wa kumwekea pingamizi au kupinga mtu kuchaguliwa/aliyechaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum nimeshindwa.

Kwa mfano, baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum ni nani anayeweza kupinga kuteuliwa kwake inapogundulika kwamba vigezo alivyotumia kuteuliwa ni vya kughushi. Wanaopaswa kupinga ni wale alioomba nao au hata mimi mwanamme ninayejua kuwa hana sifa hizo naweza kukata rufaa kupinga uteuzi wake?
 
Back
Top Bottom