Uteuzi wa viongozi

Uteuzi wa viongozi

bbc

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
3,836
Reaction score
4,152
Naanza kuwa na wasiwasi na uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Mh. JPM, inakuwaje anateua mtu katika nafasi fulani au anamhamisha na baada ya muda mfupi anamrudisha nafasi ileile au kumpeleka kwingine mfano Prof. Mbarawa, Dr. Mpango, Maswi nk. Kwamba hakuna watu wengine wa kushika nafasi hizo au uchunguzi wa kina unakuwa haujafanyika kabla ya kuteua!
 
Kwa Maswi nadhani kuna jambo ameligundua, ama kutokana na yale mengi mabaya yaliyoandikwa na wadau kuhusu maovu yake, ama ameshindwa kuendana na kasi ya JPM. Tusubiri linakuja!
 
Back
Top Bottom