Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Hii ni moja ya habari iliyonishtua sana katika karne hii kwa siasa za tanzania. Nikajiuliza kulikuwa na haja gani ya kumteua mama salma awe mbunge?
Nini lengo? Ni masahihisho ya kosa gani ambayo ikaonekana lisafishwe kwa kumteua kuwa mbunge? Ni kweli kuwa hakuna watu wenye uwezo wa kuweza kupewa nafasi hizo walitumikie taifa?
Je, ni maandalizi ya kumpa uwaziri au unaibu waziri?
Ili nchi hii iendelee kunapaswa kuwa na mabadiliko ya katiba. Ili kuepusha tusije pata rais ambaye nafasi zile 10 akazitumia kuweka mawe ili tu kuzijaza. Kwa siku za usoni. Kinyume na hapo nampongeza rais kwa kumteua mama salma kikwete kuwa mbunge ili zile nafasi zake zisibaki bila kuwa na watu.
Nampongeza pia mama kikwete kwa kuendelea kula keki ya Taifa. Wa kupata ni wa kupata tu.