A augustino ameri JF-Expert Member Jul 5, 2012 267 57 Oct 26, 2012 #1 Kuchemka kwa waziri wa wizara nyeti,ya elimu na ufinyu wa upeo aliouonyesha juu ya historia ya nch yake mbele ya jukwaa la kimataifa,kulionyesha tashwira ya aliyemteua alivyo,serikali ilivyo,wizara ya elimu ilivyo,na wananchi anaowaongoza walivyo.
Kuchemka kwa waziri wa wizara nyeti,ya elimu na ufinyu wa upeo aliouonyesha juu ya historia ya nch yake mbele ya jukwaa la kimataifa,kulionyesha tashwira ya aliyemteua alivyo,serikali ilivyo,wizara ya elimu ilivyo,na wananchi anaowaongoza walivyo.