iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Chadema ilizoea kuwa na katibu Mkuu ambaye alikuwa anatoa matamko kama anavyofanya ndugu Mwalimu kutoka Zanzibar....huyu ni kama amechukua sura ya kutotaka jambo lipite bila kulitolea kauli.
Hii pia alikuwa nayo dk slaa.
Ndugu Mwalimu amefahamika kirahisi na kwa kasi kutokana na tabia yake ,pia imekisaidia chadema kutobeba "mzigo" mkubwa kumtambulisha nchini.
Katibu Mkuu mpya wa chadema bwana mashinji kwa kweli ninavyomuona anataka kugeuka kuwa mzigo kwa chama. Hana activity na nafikiri hana hata strategic plans,
Tangu ateuliwe....asilimia kubwa ya wananchi hawamjui na ,tofauti na Mwalimu,mashinji akipita barabarani hakuna amjuaye,hata chadema wenzake.
Hajawahi kutoa speech iliyokuna wengi,hajawahi kutolea kauli jambo lolote,hatusikii akisuka timu yake tayari kuingia field,chama kinaenda kimazoea,akina makene wanatoa taarifa kwa umma watakapo wenyewe,chama hakitoi kauli kwenye mambo kama la wanafunzi wa UDOM kwa wakati na uthabiti, kimsingi mashinji ni liability chadema,aondolewe kama hataki kufanya siasa.
Nafasi yake sio desk work ,kugawa mishahara,kujibu barua za likizo,kuandaa mikutano etc.....ni nafasi ya kuoanisha maono ya chadema dhidi ya matukio yanayoendelea nchini na duniani