Uteuzi wa Balozi Lazaro Nyalandu ni kuzishawishi jumuiya za Kimataifa - USA na European Countries Kwamba Tanzania ni Shwari na Salama

lubajaro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,512
Reaction score
687
Wanabodi,

Huyu Mheshimiwa ni Double Agent wa Tanzania na CIA, kwa kifupi ni CIA matukio yake yakukumbukwa Awamu ya Tano ya JPM, aliweza kuleta Ndege kubwa yenye huduma za hospital Moja kwa Moja kutoka Marekani hadi KIA na kuwachukua manusura watoto waliopata ajari ya Lucky Vicente MKOANI Arusha hadi leo watoto hao wapo Marekani wanafadhiliwa na mashirika ya kimarekani kutokanq na msaada wa huyu Jasusi - CIA.

Tukio lingine aliwakusanya seneta wa Marekani wapatao 20 wakafika Tanzania na wakawa na nia ya kumuona JPM lakini JPM akachomoa betri hakukutana nao.

Tukio lingine alitumwa kwa kazi maalumu kwenda CHADEMA ambapo kazi aliyoenda kuifanya akafanikiwa akarudisha majeshi katika Chama Hatamu.

Kazi iliyopo mbele yake kwa sasa ni kuhakikisha anawahakikishia jumuiya za Kimataifa Kwamba Tanzania hali ni Shwari na Salama wawekezaji na watalii wanakaribishwa.

Kwa huyu CIA Hii kazi anaiweza namtakia Kila la kheri...!

Sign out
 
Madoa kwenye hii awamu hakuna dawa yyt ya madoa inaweza ndoa Mzee, angalau wahisani ili wafikirie basi Lissu aachiwe, Tume ya kihuni ya uchaguzi ifutwe, bi mkubwa aingie ulingoni na Lissu uchaguzi mpya, vinginevyo maumivu mwanzo mwisho.
 
Faili lake la madudu alipokuwa waziri mwenye dhamana ya wanyamapori linajulikana
Madudu yale akiwa Waziri wa utalii alikuwa anafanya kwa niaba ya Jakaya Mrisho Kikwete! Hata huu Uteuzi Kikwete kamuaminisha Samia kuwa Nyalandu anawamudu wamarekani hivyo ubalozi wake utasaidia kuwalainisha wasisitishe kutoa misaada jambo ambalo sio kweli. Nyalandu ana urafiki na Senator mmoja Mzee kuliko wote atokae jimbo la IOWA aitwae Chuck Glassley basi; huyu babu hana ushawishi tena kwa serikali ya Trump kwani vijana wamempiku hivyo wanapoteza hela bure za walipa kodi kufanya teuzi zisizo na tija ; yote yakiwa njama za kuficha udhalimu wao. You will not succeed.
 
Bongo kila mtu ni jasusi/teeth/usalama hadi vichaa. Ukiangalia nchi inavyoenda unajiuliza hao usalama wanafanya nini exactly? Hakuna. Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Bora huyu aliwaokoa manusura wakaenda marekani! Je tukuulize wewe Gen -z mzalendo umesaidia nini kwenye nchi yako ? Zaidi ya kuhamasisha vurugu ili uchome nchi yako ili wazee wako tuishi kama wakimbizi
 
Kwani wao hawaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…