UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Jaji Wambali kuwa Jaji Kiongozi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
13335712_10207874200787855_7386792664409918854_n.jpg
 
Hongera sana tunaamini yeye na wenzie utausimamia vema muhimili wa mahakama
 
Mwenye hukumu ya Mh. Jaji Kiongozi atuwekee hapa tuone makali yake katika kutoa reasoned judgements. Nimegoogle hakuna hata moja. May be need more search terms1
Huyu jamaa anendana na mkuu wa kaya alipotua pale chuo Cha IJA aliwatema wanafunz weng tu dizain ya udom akaweka level za kuingilia pale wengi waliomalza IJA chet 2013 wanamjua alivyowafanya. Kifupi anamisimamo yake. Kuhusu kesi sijawahi kukutana na judgment yake
 
Nini tofauti ya Jaji kiongozi na jaji wa Mahakama ya Rufaa? Waelewa nijuzeni
Jaji Kiongozi (JK) ni mkuu wa Majaji wote wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Jaji wa Mahakama ya Rufani ni jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania. Kuna majaji wa Mahakama Kuu na wa Mahakama ya Rufani,mahakama ya juu kabisa nchini. Jaji Mkuu ndiye kiongozi wa mhimili wa Mahakama.
 
Mwenye hukumu ya Mh. Jaji Kiongozi atuwekee hapa tuone makali yake katika kutoa reasoned judgements. Nimegoogle hakuna hata moja. May be need more search terms1

Mojawapo: Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17

lg.php

20150731001754-620x308.jpg

David Kafulila aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Kusini
Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17
Posted by: Happyness Lidwino May 5, 2016 0 Comments 1,738 Views

FERDINAND Wambali Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora anatarajiwa kutoa hukumu ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini tarehe 17 Mei mwaka huu, anaandika Happiness Lidwino.

Kesi hiyo ya kupinga matokeo ilifunguliwa na David Kafulila aliyekukuwa mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi dhidi ya mpinzani wake Husna Mwilima wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayedaiwa kupoka ushindi wa Kafulila.

Wambali anayesimamia kesi hiyo katika taarifa yake iliyotolewa jana mjini Tabora amesema kuwa, amepanga kutoa hukumu tarehe hiyo baada ya pande zote mbili kuwasilisha ushahidi na maelezo yao

Awali, Jaji Wambali aliamuru Mwilima kuwasilisha ushahidi uliompa ushindi lakini pia msimamizi wa uchaguzi huo naye apeleke ushahidi uliomfanya ampe ushindi Mwilima.

Baada ya kukamilika kwa ushahidi huo, Wambali aliomba kupatiwa muda wa kutosha ili kupitia ushahidi huo na vielelezo vilivyowasilishwa ili aweze kutoa hukumu ya haki.

Huku akisema, Ruben Mfaume aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza, ambaye alikuwa msimamizi wa wa uchaguzi jimbo hilo ni mshitakiwa wa tatu katika kesi hiyo.

Katika kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2015, Kafulila anaishawishi mahakama itengue matokeo yaliyompa ushindi mpinzani wake Mwilima badala yake imtangaze yeye kama mshindi halali wa jimbo hilo kwa mujibu wa kura zake.

Walalamikiwa katika kesi hiyo ni pamoja na, Mbunge wa jimbo hilo, Mwilima , Mfaume, na Mwanasheria wa serikali anayewakilisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Ktika kesi hiyo wakili Kenedy Fungamtama anamtetea Mwilima huku Kafulila akitetewa na mawakili watatu Prof. Abdallah Safari,Tundu LissU na Daniel Rumenyela.

...................................................................................

Je, ni zawadi? Nauliza tu!;);)
 
Jaji Kiongozi (JK) ni mkuu wa Majaji wote wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Jaji wa Mahakama ya Rufani ni jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania. Kuna majaji wa Mahakama Kuu na wa Mahakama ya Rufani,mahakama ya juu kabisa nchini. Jaji Mkuu ndiye kiongozi wa mhimili wa Mahakama.
Kwa hiyo Lila amekuwa demoted?
 
Mojawapo: Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17

lg.php

20150731001754-620x308.jpg

David Kafulila aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Kusini
Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17
Posted by: Happyness Lidwino May 5, 2016 0 Comments 1,738 Views

FERDINAND Wambali Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora anatarajiwa kutoa hukumu ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini tarehe 17 Mei mwaka huu, anaandika Happiness Lidwino.

Kesi hiyo ya kupinga matokeo ilifunguliwa na David Kafulila aliyekukuwa mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi dhidi ya mpinzani wake Husna Mwilima wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayedaiwa kupoka ushindi wa Kafulila.

Wambali anayesimamia kesi hiyo katika taarifa yake iliyotolewa jana mjini Tabora amesema kuwa, amepanga kutoa hukumu tarehe hiyo baada ya pande zote mbili kuwasilisha ushahidi na maelezo yao

Awali, Jaji Wambali aliamuru Mwilima kuwasilisha ushahidi uliompa ushindi lakini pia msimamizi wa uchaguzi huo naye apeleke ushahidi uliomfanya ampe ushindi Mwilima.

Baada ya kukamilika kwa ushahidi huo, Wambali aliomba kupatiwa muda wa kutosha ili kupitia ushahidi huo na vielelezo vilivyowasilishwa ili aweze kutoa hukumu ya haki.

Huku akisema, Ruben Mfaume aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza, ambaye alikuwa msimamizi wa wa uchaguzi jimbo hilo ni mshitakiwa wa tatu katika kesi hiyo.

Katika kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2015, Kafulila anaishawishi mahakama itengue matokeo yaliyompa ushindi mpinzani wake Mwilima badala yake imtangaze yeye kama mshindi halali wa jimbo hilo kwa mujibu wa kura zake.

Walalamikiwa katika kesi hiyo ni pamoja na, Mbunge wa jimbo hilo, Mwilima , Mfaume, na Mwanasheria wa serikali anayewakilisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Ktika kesi hiyo wakili Kenedy Fungamtama anamtetea Mwilima huku Kafulila akitetewa na mawakili watatu Prof. Abdallah Safari,Tundu LissU na Daniel Rumenyela.

...................................................................................

Je, ni zawadi? Nauliza tu!;);)
Humu JF kuna watu wapo kama komputer ya maktaba ya taifa
 
Back
Top Bottom