habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,739 Aug 15, 2017 #41 Babati said: Kutwa kuteua, hakuna kazi nyingine jamani? Click to expand... zamu yako inakuja
Mwadunda JF-Expert Member Aug 14, 2013 2,027 1,712 Aug 15, 2017 #42 Yuko wapi Mh Anne Makinda? Sent using Jamii Forums mobile app
mgoloko JF-Expert Member Jun 25, 2016 4,806 3,996 Aug 15, 2017 #43 Babati said: Kuna siku atasahau ajiteu na yeye Click to expand... Mbona keshajiteua kuwa waziri wa ujenzi Makame mbalawa yupo pale kama boya tu hajui afanye nini
Babati said: Kuna siku atasahau ajiteu na yeye Click to expand... Mbona keshajiteua kuwa waziri wa ujenzi Makame mbalawa yupo pale kama boya tu hajui afanye nini
N nkongu ndasu JF-Expert Member Jan 19, 2013 22,532 6,613 Aug 15, 2017 #44 hilo ndo analoliweza kwa kweli.....
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,877 93,648 Aug 16, 2017 #45 mgoloko said: Mbona keshajiteua kuwa waziri wa ujenzi Makame mbalawa yupo pale kama boya tu hajui afanye nini Click to expand... Hahahaha
mgoloko said: Mbona keshajiteua kuwa waziri wa ujenzi Makame mbalawa yupo pale kama boya tu hajui afanye nini Click to expand... Hahahaha
P pilipili kichaa JF-Expert Member Sep 3, 2013 17,660 13,719 Aug 16, 2017 #46 Kadhi Mkuu 1 said: Kuna tatizo gani? kila teuzi mnauliza kabila? Tubadilike tuulize CV. Click to expand... Kanda nyingine 'mwenge unaruka vijiji mkuu'.
Kadhi Mkuu 1 said: Kuna tatizo gani? kila teuzi mnauliza kabila? Tubadilike tuulize CV. Click to expand... Kanda nyingine 'mwenge unaruka vijiji mkuu'.
K K M S JF-Expert Member Dec 18, 2016 524 424 Aug 17, 2017 #47 Kurzweil said: UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF). Kabla ya uteuzi huu Bwana Benard Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo View attachment 563883 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kurzweil said: UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF). Kabla ya uteuzi huu Bwana Benard Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo View attachment 563883 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app