UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bernard Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

style ya magufuri watu hawaielewi ndo maana kila siku wanatukana.Sasahivi mh Magu hakupikazi moja kwa moja.Anaanza kwa kukukaimisha na ukichemaka anateua mwingine au ukifanya vizuri anakuteua rasmi.Kwa wasioelewa kama Tundulisu,,, wanabaki kulazimisha Magu amuendose Jaji mkuu wakati style ya sasa unapewa probation kwa mfumo wa kukaimu
Hiyo unayoita style mpya iko kwa mujibu wa sheria au mihemko?
 
style ya magufuri watu hawaielewi ndo maana kila siku wanatukana.Sasahivi mh Magu hakupikazi moja kwa moja.Anaanza kwa kukukaimisha na ukichemaka anateua mwingine au ukifanya vizuri anakuteua rasmi.Kwa wasioelewa kama Tundulisu,,, wanabaki kulazimisha Magu amuendose Jaji mkuu wakati style ya sasa unapewa probation kwa mfumo wa kukaimu
Naona tunakoelekea tanzania ya sasa
tutaanza kuuziwa sanamu na picha
za lissu,maana amekuwa maarufu kila kona.
Hivi bila kumtaja lissu mnaona post zenu
hazitasomeka? Hebu tubadilike,tujifunze
kujenga hoja zinazojitegemea.
 
Jamaaa anameenda ikulu kwa ajiili yakuajiri viongozi, dah uku mtaaan akuna kazi ila zipo kwa wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kuna watu walichukua viwanda na mashamba kwa bei ya kutupa oli watengeze ajira lakini hawakufanya hivyo? Au wewe hujui hilo? Walisema serekali sio vizuri kufanya biashara lakini kusimamia sera na kukusanya kodi.
Saaa serikali imeamua kuwafuata huko huko juu, sio kuwasubiri washuke.
 
Kutwa kuteua, hakuna kazi nyingine jamani?

SEMA WEWE AFANYE NINI KINGINE ZAIDI YA KUTAFUTA WATU SAHIHI WA KUFANYA KAZI KULINGANA NA MAADILI YA KAZI? HIVI HIZO KAZI NYINGINE ZOTE ANAZO FANYA MPAKA SASA HUZIONI ? AU WEWE NDIO "WALEWALE "? JITAHIDI KUFANYA KAZI KAMA MAADILI YANAVYOTAKA NA WEWE "UTATEULIWA"!!!!
 
Back
Top Bottom